Recent content by AL-HIKMA FOUNDATION

  1. AL-HIKMA FOUNDATION

    Ujio wa sheykh Sudeys Tanzania

    Video zitapatikana katika page yetu ya fb ya al-hikma qur-an competition
  2. AL-HIKMA FOUNDATION

    Ujio wa sheykh Sudeys Tanzania

    Kwa niaba ya Taasisi ya Al-Hikma foundation tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kujaa kwa wingi uwanjani na kuitikia wito kwa ajili ya MwenyeziMungu, pia tunawataka radhi watu wote walioshindwa kuingia kutokana na uwanja kujaa, haikuwa dhamira yetu. Mwisho kabisa tunamuomba Allahu Subhana...
  3. AL-HIKMA FOUNDATION

    Ujio wa sheykh Sudeys Tanzania

    Kumradhi ndugu yangu, na ndugu wote waliouliza juu ya live coverage ya kwa local stations, haikuwa nia yetu kudharau swali lenu ila tulikuwa Tunasubiria uhakika wa jambo husika na kwa kipindi hiko tulikuwa bado halijakamilika. Ila uhakika kwa sasa ni kuwa Azam TV wataonyesha live... Ila karibu...
  4. AL-HIKMA FOUNDATION

    Ujio wa sheykh Sudeys Tanzania

    Sasa tunahesabu masaa tu...
  5. AL-HIKMA FOUNDATION

    Ujio wa sheykh Sudeys Tanzania

    Maandalizi bado yanaendelea...
Back
Top Bottom