Recent content by Al-habiib

  1. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Klabu ya Yanga imechagia milion 100 CCM gala dinner 2025

    Billion 10 Duuuh, Ila Kama Ni kampuni Basi sio shda Sana Mana kweny return ya Ile 30% ya Kodi ya faida inakatwa . Ko Ni Kama mchezo tu badala ingelipwa Kama Kodi Sasa imekatwa Kama expenses au charity . Wametoa mfuko wa Shati wakaweka wa surual. Tuloumia Ni watanzania hii Kodi ingefanya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania TSH/KSH: Somo fupi exchange rates znapatikana wap na nani anaamua ziwe ngapi kwa ngapi

    Mkuu elimu so mchezoo hii, itakuwa upo BOTt Wew, Mana umemwaga madini ya ndani Sana. Ahsante kwa elimu.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki ya kuchaji used

    Wakuu habari, nahitaji pikipiki ya kuchaji used weka Bei na waqasiliano na pcha ya pkipki
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ujue msikiti uliojengwa na majini

    Huu mda wa usngz mnono mshana unaandka Uzi🙌, kwa kweli we Ni mlozi haswaa.
  5. A

    JamiiForums Tanzania AGIZA BIDHAA MBALIMBALI KUTOKA DUBAI-SALU DXBTZ GENERAL TRADING

    Huyu mwamba Ni uhakka ,npo kweny group lake. Ni muaminifu hana vipengele🙌🙌
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wengi wanaoshadidia sakata la wachina ni watu wa kawaida na sio wafanyabiashara. Tuache ushabiki na tuchukue hatua hizi stahiki

    Sio staki , kwani hapa bongo Kuna bidhaa zote znazalishwa ? Pia hta hvyo viwanda Ni vya wachina hao hao, wanakwepa Kodi tu.
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wengi wanaoshadidia sakata la wachina ni watu wa kawaida na sio wafanyabiashara. Tuache ushabiki na tuchukue hatua hizi stahiki

    Alibaba ndio wanapatkana supplier wa kchina na ndo weny viwanda , Sasa ultaka nikanunue kariakoo wakati mi npo distribution level, Watu wa kariakoo Ni distributor tu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wengi wanaoshadidia sakata la wachina ni watu wa kawaida na sio wafanyabiashara. Tuache ushabiki na tuchukue hatua hizi stahiki

    Haf kumbe wew bdo Sanaa enhee!! Yani uondoe system ya distribution na wholesale kvp? Mfano Mimi nanua container 5 za mafuta ya kula nje haf kila kontena Ina tani 28 kwa ujumla wake Ni kma hvii... 28ton×50 Jerrycan per ton=1400jerrycans , kwahyo container tano Ni madumu 1400×5=7000 madumu. Kwahyo...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wengi wanaoshadidia sakata la wachina ni watu wa kawaida na sio wafanyabiashara. Tuache ushabiki na tuchukue hatua hizi stahiki

    We ni mjinga kumbe!! Yani huo mfumo umepitwa na wakati?? Angalia vwanda hapa nchini Kama Wana ujinga huo wa wachina! Tena ukitaka kujua thamani ya kiwanda ,jaribu kununua mzigo kutoka kiwanda Cha hapa. Nchini ndo utajua maana ya kiwanda jinsi utakavyo kutana na masharti magumu ya kununua mzigo...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wengi wanaoshadidia sakata la wachina ni watu wa kawaida na sio wafanyabiashara. Tuache ushabiki na tuchukue hatua hizi stahiki

    Wafanyabiashara ndo wanaelewa ili nyinyi wengne , mtatunanga sana
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wengi wanaoshadidia sakata la wachina ni watu wa kawaida na sio wafanyabiashara. Tuache ushabiki na tuchukue hatua hizi stahiki

    We muajiriwa subiri paycheck yako tu. Hii vta tuachie tuloshka uchumi wa nchi
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wengi wanaoshadidia sakata la wachina ni watu wa kawaida na sio wafanyabiashara. Tuache ushabiki na tuchukue hatua hizi stahiki

    We bdo wasoma SKU ukija huku ktaa ndo uteelewa, Soma mwanetu uajiriwe. Mifumohuiwez hyo
Back
Top Bottom