Recent content by Al Adawy

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tunanunua mafuta ya Mise

    Baada ya muda mrefu kwa kampuni yetu ya AL ADAWY INDUSTRIES kuwa imesimama shughuli zake za uzalishaji wa Sabuni za miche, sasa kampuni hii itaanza shughuli zake rasmi kuanzia mwezi wa sita 2017.kwa yeyote mkazi wa Mbeya na Kigoma tunakupa fursa ya kuuza mafuta ya Mise yanayotumika kutengeneza...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbwa

    American Eskimo
  3. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbwa

    Vp huyu atakufaa?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuku wa mayai hutaga mara mbili kwa siku?

    Ahsanteni wote kwa majibu yenu nimepata kuelewa machache lakini makubwa kutokana na majibu yenu. Mungu awabariki sana
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuku wa mayai hutaga mara mbili kwa siku?

    Inawezekana ikawa si kweli, lakini pia inawezekanaje wafugaji wakusanye mayai mara mbili kwa siku na wakati kuku anataga mara moja?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuku wa mayai hutaga mara mbili kwa siku?

    Nimesikia wafugaji wengi wa kuku wa mayai wakisema huwa wanakusanya mayai asubuhi na jioni kwakuwa kuku wa mayai hutaga mara mbili kwa siku.je hii ni kweli?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuku wangapi watatosha kwenye banda lenye vipimo hivi?

    Kiutaalamu sikushauri kurundika kuku zaidi ya 9 wenye umri wa kuanzia wiki 5 na kuendelea.hii itasababisha kuku kukosa hewa ya kutosha na kusababisha vifo vya kuku wengi au kushindwa kukua kwa namna inavyotakiwa
  8. A

    JamiiForums Tanzania Je unaijua AMANA Bank, Inayokopesha bila Riba?

    The meaning of this is:pesa yako unayoiweka fixed maana yake huwezi kuitoa unaiweka kwa malengo. hivyo pesa hiyo unayoweka wao hutumia katika miradi yao mingine.katika upatikanaji wa faida ndani ya mwaka mmoja wanakugawia faida kutoka katika faida waliyotengeneza, hii ni sawa na kuwekeza pesa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuku wangapi watatosha kwenye banda lenye vipimo hivi?

    Na ukitaka kujua mengi zaidi tuwasiliane nikupe booklet kuhusu ufugaji bora wa kuku
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuku wangapi watatosha kwenye banda lenye vipimo hivi?

    tafadhali fuata muelekezo juu ya swali lako katika screenshot hii inaweza kukusaidia
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Nashukuru nyote kwa ushauri wenu na mawazo yenu. Nadhani sasa ni muda muafaka wa kubadili mbinu na kuelekeza katika mawazo mapya. Ahsanteni!!
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Habari ndugu zangu, ninaomba kufaham kama suala la kufuga kuku wa kienyeji kwa muda mfupi kama wanavyofugwa kuku wa kisasa wa nyama linawezekana?. Nahitaji kufuga kuku wa kienyeji kuanzia wakiwa wana siku moja na wakifika wiki 6 au 8 nianze kuwauza. Tafadhali kwa yoyote mwenye uwelewa naomba...
Back
Top Bottom