Recent content by Akwisombe

  1. Akwisombe

    JamiiForums Tanzania Msaada Jinsi ya kupata antivirus

    mwl.CRt na mimi naomba unisaidie maana Avg inanisumbua
  2. Akwisombe

    JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya Chuo cha Sokoine.

    mpaka mnyooke............nendeni mkakope PECAM c ndivyo mlivyoshauriwa
  3. Akwisombe

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta division 5.

    Serekali yetu mbona haina msimamo...........kigeugeu tu mnawazingua madogo
  4. Akwisombe

    JamiiForums Tanzania Kwa wadau wa SUA mliokwisha ripoti chuoni

    Msaada tafadhali kwa wale wa SUA ambao tayari mmekwisharipoti chuoni, tafadhali naomba mtufahamishe sisi ambao tutachelewa suala zima la usajili hapo chuoni likoje..
  5. Akwisombe

    JamiiForums Tanzania Tupia topic ambayo huitaisahau advanced level kwa physics

    Physics ya advance ni noma sana hasa kwa sisi tuliosoma PCB pamoja na BAM
  6. Akwisombe

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Kwa muda mrefu ndani ya jukwaa hili f,thread nyingi zilihusu tcu na bwana mkubwa heslb,lakini naamini siku ya leo bwana heslb amekuja kufunga mijadala hiyo..pongezi kwa waliobahatika kupata mkopo na poleni ndugu zangu mliokosa..sio mwisho wa maisha.. tukutane SUA Bsc.Horticulture
  7. Akwisombe

    JamiiForums Tanzania Unajua physics ww hebu chek na hii

    mleta mada anakimbizwa huyo!!!!!
  8. Akwisombe

    JamiiForums Tanzania Wale wa Sua tufahamiane humu

    mi npo bachelor of science horticulture
  9. Akwisombe

    JamiiForums Tanzania Umepangiwa chuo kipi na Course program ipi...?

    Sokoine-horticulture
  10. Akwisombe

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Ilboru waendelea kugoma

    namfaham xana shulla alkua mkuu wa tosamaganga kabla ya hapo..Popote alipo huyo bwana hapakos matatzo--anauwezo mzur wa kuwaunganisha walmu lakn huwa anawakandamz xana wanafunz.
  11. Akwisombe

    JamiiForums Tanzania Siri nzito yavuja wizara ya elimu

    mchz we n nouma!!!!!! Cha wap Icho mwanangu!??!!!
  12. Akwisombe

    JamiiForums Tanzania Awamu ya pili hatihati kukosa mkopo!!!!

    According to tcu ni takriban wanafunz elfu nane na ushee wamekosa nafas awamu ya kwanza,iz it possible kwa kund hl lote likakosa kabsa??? hebu 2ambizane bac huo mwaka 2011 n wanafunz wangap walkosa mkopo!!? wanafkia idad hii!?!?!
  13. Akwisombe

    JamiiForums Tanzania tcu nimewaelewa sasa

    Wale wa second round tunaandikiwa processed na first come first served
  14. Akwisombe

    JamiiForums Tanzania TCU mbona hawaeleweki?

    that means u wll have to apply for the secnd round b4 9 august otherwise imekula kwako
  15. Akwisombe

    JamiiForums Tanzania Awamu ya pili hatihati kukosa mkopo!!!!

    2subiri na 2one
Back
Top Bottom