Recent content by akwilini

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vioja vya watoto wadogo (0-5years), tuambie vioja vya mwanao

    Hongera sana kaka kupata mtoto anayekujalai kiasi hicho.... maisha ya utotoni yana raha sanaaa na yana furahisha sana. Endelea kuwabkaribu na mwanao akuwe katika mazingira hayo hayo. Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
  2. A

    JamiiForums Tanzania Serikali: Watanzania waingie bure ktk Mbuga na Hifadhi za wanyama nchini kote

    Atakae penda kutembela hifadhi ya saadani katika kuadhimisha siku ya mazingira duniani jumapili hii anaweza khniona. Garama ni 35,000 mtu moja
  3. A

    JamiiForums Tanzania Serikali: Watanzania waingie bure ktk Mbuga na Hifadhi za wanyama nchini kote

    Sababu kubwa ninayojua kutokana na utalamu wangu ni kwamba watanzania kutembelea hifadhi ni garama kwetu badhi kwa maana ya kwamba garama inakuja kwenye usafiri. Usafiri namna ya kufika katika hio hifadhi ndo kinachowashinda wengi, kingilio cha mtanzania ni 5000 na gari ni 20,000. Hicho hata...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wanaotembelea Hifadhi za Saadani

    Asante maana nilianda tour jumapili hii kwenda saadani.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tembelea hifadhi ya Saadani weekend hii

  6. A

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa barabara ya Whitesands Africana

    Hii ni hali halisi ya barabara ya mbezi beach B katika kata ya kawe, pembezoni ya shule ya F.K Intetntional. Hii barabara huwa inatengenezwa na wasamaria wema wakazi wa mbezi kila itokeapo mvua tu haifai kupitika. Sasa wapita kwa magari utumia njia ya mkato kuchepuka nje ya geti la shule hii na...
Back
Top Bottom