Wanasiasa ni watu wa kuogopa kama ugonjwa wa ukoma, furaha yao ni kuona wananchi hasa wa hali ya chini wakiangaika na kuamasisha machafuko. Wananchi wenzangu tuwen makin sana na wanasiasa
kwa akili yako unafikili vitendo anavyofanyiwa Tulia na Ukawa ungekuwa wew ungevumilia au ungefurahi, Achen ushabik mchwala. Sasahv Ukawa wana mnyanyapaa yule Mama waziwaz hadi imefikia hatua wamekataa chakula cha wazir mkuu et kisa Tulia Akson yupo
Nafikili watanzania tuanze kujenga tabia ya kuwa tunafatilia mambo, baada ya mgomo wa wanafunz wa UDOM, magufur anasema ndipo alipata fursa ya kujua kuna nini Pale Akagundua kuna mapungufu makubwa katika swala la kudahili wale wanafunz weng wao hawana sifa ndipo Akaamua wote warudishe nyumban na...
chezea mshahara usichezee kaz, ukifatilia vzr majibu ya wazir kitwagwa pind anajib swal bungen ni waz hakuwa sawa, for me president kafanya jambo sahihi kabisa
Kiukwel ni hoja nzr, coz bunge linahaki ya kusimami, kukosoa, na kuiyelekeza serikal, tatzo Maguful anaona kama anachelewa, akitaka fanya jambo hadi akuletee upitishe. Hapo kuna kaz kwel kwel, Magu yeye anaelekeza pesa kwenye maendeleo tu, Tatzo wapinzan wanapenda sana wasikike sasa bunge live...
Sioni haja ya mtu kutoa uzi akilaumu maamux ya zaman kikubwa sahv anatuhumiwa na ubadilifu je uongox wa juu umechukua hatua gan.na hapo ndipo utampa magu crdt
Tujarb kuangalia mambo yanayo tuhusu hususan ni ya kijamii, achana na mambo ya ikulu utaonekana mshamba tu rais ni level nyngne ni nyadhifa ya juu kabsa sasa unahoj nn, na umemsikia mwenyew akisema hapend kusafir coz anabana matumiz, uhur tulio nao usipite kipimo
Naomba kuuliza Kwan ni mara ya kwanza MCC kutoa msaadat was tril1.2
Kikubwa kipi kimefanyika tofaut na wachache kufaidika na kupiga, inawezekana wanao ongea sana nimiongon mwa wale walio kuwa wanafaidika na msaada wa mcc"am sorry nagusa tu"
Ilikujua maana halisi ya majip rais anamaanisha nini sikiliza hotuba aliyo hutubia mahakama, anataka maakama wafanye kaz yake, mtu afanyiwe uchunguzi, akikutwa na hatia sheria ifate mkondo wake, let yu wait ma braza soon tutapata positive result ya majip
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.