Recent content by akulu57

  1. A

    Dhambi ya usaliti aliyo nayo Lowassa ilianzia kwa baba yake mzazi wakati wa kudai uhuru

    Nilidhani wachangia mada wangejibu hoja kwa hoja, ninachokiona ni matusi na maneno yasiyo na mashiko! Ili tuitendee haki nchi yetu na wananchi wake, tujikite zaidi kwenye hoja. Sijaona hata mmoja aliyetoa hoja mbadala ya yale ambayo mtoa mada ameyaorodhesha kama maeneo ya kifisadi yanayomgusa...
  2. A

    Hata kama wananchi wanakupenda kiasi gani , namna hii ya kuutaka urais ni kasoro kubwa sana

    Napiga taswira ya kuwa EL amekuwa rais kama anavyotamani. Na inafika sikukuu ya kitaifa ambapo rais EL anatakiwa akague gwaride na kulihutubia taifa. Rais EL anaingia uwanja wa taifa akiwa amesimama kwenye gari la wazi hadi jukwaa kuu. Rais EL anatakiwa asimame kupokea guard of honour, akague...
  3. A

    Edward Lowassa special thread

    EL chaguo la Mungu? Niko ni kutafuta laana
  4. A

    Tano bora yangu ya CCM ni hii

    No, that's not true, it's an overstatem with no supporting empirical evidence
  5. A

    Q&A Professor Anna Tibaijuka - Minister of Lands, Housing and Human Settlements

    I read this interview and sincerely, there is nothing new! the same old story...the past plans were bad, "guys, here i come with super plan"...till when our leader will stop planning and tell us the real achievements? For instance, Dar es Salaam is dirty, dirtier than Kigali and Kampala. Our...
  6. A

    Yamenikuta mwenzenu

    conditional love? don't think so and if you really love him, proceed
Back
Top Bottom