Recent content by akrb

  1. A

    Biashara ya Samaki vs Maziwa

    Safi sana, mimi nilikuwa na wazo La baishara ya samaki.tafadhali naomba contacts zako inbox tuwasiliane
  2. A

    Biashara ya samaki

    River side ni wapi?
  3. A

    Biashara ya samaki

    Shukran sana ndugu umenipa mwanga.ubarikiwe👍👍
  4. A

    Biashara ya samaki

    Habari wanajamvi, napenda kuwasilisha mada tajwa. Mimi nilikuwa nawazo ya kufanya biashara ya samaki wabichi sato na sangara kuuza kwa jumla sana sana kwa ma butcher na mahotel kwa kuanza sitakuwa na sehemu maalum, yaani duka nitakuwa natafuta order baada yakupata order na supply direct kwa...
  5. A

    Kwa wakazi wa mwanza natafuta laptop yakununua - nipe bei

    ipo brand new toshiba 2gb ram 500gb hdd.procesor celeron screen 15 inch color silver with bag bei 680,000 pia kuna Lenovo 2gb ram 500gb hdd.procesor celeron screen 14 inch color silver with bag bei 640,000 contacts 0784710555, kama sitapatikana hewani tuma text pls
  6. A

    Natafuta HTC m8 Original

    habari, natafuta htc m8 original internal memory 32 gb used,iwe ktk hali nzuri isiwe na michuboko na ubovu wowote.Budget yngu laki 5.mwenye nayo aweke contacts zake ntamtafuta,sihitaji clone original tu...
  7. A

    Msaada toshiba laptop inagoma ku boot

    Salaam.laptop yangu niliweka win 8.1 pro baadae nikaamua kubadilisha nikaaenda kwenye settings kwenye option clean everithing sasa ikawa inachukua muda na inakwenda vry slow nikaamua kuizima na kuwasha tena ili niende kwenye options zingine baada tu ya kufanya hilo.inaandila PREPARING AUTOMATIC...
  8. A

    Misemo ya viongozi wa kisiasa Tanzania

    17.very stupid n selfish indeed.wa2 wapoteze uhai wao kwaajili ya wewe kuingia ikulu?so ukiingia utarudisha uhai wao?
  9. A

    Car for sale. Subaru impreza

    CAR FOR SALE FOR TSHS.11.5 MILLION SUBARU IMPREZA MODEL JF1GDAKD. YEAR OF MANUFACTURE 2002 INGINE CAPACITY 1994, FUEL USED PETROL. Number of AXLES 2 CALL/TEXT 0784710555. LOCATION DAR ES SALAAM.
  10. A

    Post SMS za vichekesho na utani hapa

    kwa wale wasiojua in short,ktk Uislam wanandoa wanaomba dua ya kumwepusha Shetani nao na kile watakachoruzukiwa kwa tendo hilo (mtoto). Dua ni kinga ya waumini.
  11. A

    Post SMS za vichekesho na utani hapa

    kama muislam kakosea basi Mface huyohuyo na si kushaif dini,maana dini inatujumisha waislamu wote.Pia nakukumbusha,Mungu tu ndio ata Judge nani yuko sawa na nani hayuko sawa na si wewe wala mtu yeyote. Halaf unasema sijui 'UFICho' unaamanisha nini? Kama kitu hukijui ni bora ukaka kimya au...
  12. A

    Post SMS za vichekesho na utani hapa

    Ndugu Mlaleo,tafadhali usikashif dini.jama kafahamisha jamii kuwa ktk Uislam Dua ipo.sasa hapo Mtume kajaje tena?na wake wanne imetoka wapi?kama ulikuwa hujui ungeuliza kiustarabu.
  13. A

    Africa mashariki yaongoza kwa Internet Bora Africa

    hio gb30 kwa siku 3 kwa sh 1000 mtandao gani??
  14. A

    Tv,deck&subwoofer repair forum

    mambo vp,nina subwoofer aina ya seapiano.ilianza na matatizo ya bass,yani ukiweka base inavuma sana ila bila bass inapiga kawaida.nikampelekea fundi akasema hio ni ac akatengeneza ikawa haiwaki kabisa hata taa haiwaki.fundi wa pili akatengeneza ila sauti ikawa sio kama vile ya mwanzo yaani bass...
  15. A

    Universal modem kwa wakasi wa mwanza

    vodacom speed 3.75g,ukitaka kuiona nitext wattsap ntaku2mia picha,nimekwama kupost picha humu
Back
Top Bottom