Kwanza ni wabinafsi Wa mawazo, kutokana na hili wanapokuwa na shida udhania wao ndio Wa kwanza kupata shida hiyo, hivyo kimbilio ni kujiua. Walevi wakishalewa Mara nyingi uwa open na mambo yao na hujikuta wakipewa mawazo na kugundua Sio wapo Wa kwanza Kuwa na tatizo hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.