Recent content by akiomwa

  1. akiomwa

    Database ya Makampuni 2,0000 inapatikana

    mimi binafsi nakupongeza kwa creativity especially ninapoona vijana wenzangu ambao wako creative. big up kaka,keep going usikatishwe tamaa. tunahangaika ajira tatizo kila siku, je hata creativity tu as an alternative to unemployment nalo pia ni tatizo? hapana! we need to wake up guys. ni mtazamo...
  2. akiomwa

    Kutoa ushuhuda kuhusu suala la ajira

    thanks sana! naamini nafasi yenu pia itakuja. my duty now is to pray kwa ambao bado wanatafuta kaz kama ilivyokuwa kwangu! Good Luck!
  3. akiomwa

    Kutoa ushuhuda kuhusu suala la ajira

    Amina! asante sana,ubarikiwe pia.
  4. akiomwa

    Kutoa ushuhuda kuhusu suala la ajira

    asante sana mkuu...
  5. akiomwa

    Kutoa ushuhuda kuhusu suala la ajira

    sure i will do that! thank you!
  6. akiomwa

    Kutoa ushuhuda kuhusu suala la ajira

    nimejiandaa kwa hilo. thank you anyway! all is well!
  7. akiomwa

    Kutoa ushuhuda kuhusu suala la ajira

    Hello ndugu zangu wana JamiiForums, Natumaini wote ni wazima. Mimi pia ni mzima. Binafsi si mkongwe sana JamiiForums lakini lazima nikiri kuwa JamiiForums imenifungua mengi sana na kunisaidia katika mengi kwa namna moja au nyingine. Kama ilivyo kwa wengi na mimi pia nilikuwa katika mahangaiko...
  8. akiomwa

    Nataka Laptop

    nitajie specifications za laptop unayohitaji na budget yako ni shilingi ngapi. unaweza pia kunijibu kwa 0759621300 au 0655621300
  9. akiomwa

    Hackers wamefanya kazi yao kwenye webisite ya mikopo (HESLB)

    ile bendera inayoonekana pale kumbe ni ya nchi ya jordan. ukigoogle bendera ya jordan ndio inafanana na aliyoweka hacker kwenye website hizo.
  10. akiomwa

    Hackers wamefanya kazi yao kwenye webisite ya mikopo (HESLB)

    kama kuna mwingine anajua website nyingine za serikali zilizokuwa hacked atujuze pia. watu wa security wanahitajika sana aisee!
  11. akiomwa

    Hackers wamefanya kazi yao kwenye webisite ya mikopo (HESLB)

    Du kumbe hata website ya law reform commission of Tanzania imekuwa hacked pia na hacker ni huyo huyo mmoja. jamaa inawezekana ana mpango wa kuhack website nyingi za serikali. Jaribu kuopen website ya law reform commision of tanzania utakutana na same output/message kama ya bodi ya mikopo.
  12. akiomwa

    Hackers wamefanya kazi yao kwenye webisite ya mikopo (HESLB)

    hata mimi pia nimeona aisee! tena huyu hacker ni blaa, kaacha na contacts kabisa!
Back
Top Bottom