Recent content by akimere

  1. A

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mahakama yamuachia huru Wendy Mrema aliyetuhumiwa kumuua mama yake mzazi na kumzika

    Hapo wendi hajashinda kesi bali upande maombi yamewasilishwa na Upande wa Serikali kutokuwa na niya ya kuendelea na shauri. TATIZO HUWA LINAANZIA WAPI??! kwa kweli tatizo ni kwa Wananchi, tukio linapotokea wananchi au jamii haitoi ushirikiano kwa vyombo vya uchunguzi na ushahidi mahakamani. Watu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kumuoa kwa ndoa, lakini awe tayari kunitafutia kazi, kunilipia ada

    pole sana!,umekosea njia,umeshindwa kujua mtu atafutiwi kazi bal huwa anatafuta mwenyewe ,umesahau DILPLOMA inasoko zaid ya degree, ungetafuta kaz kwanza ndo usome, wee komaaa na degree yako alafu baadaye utanielewa, umesahau MUNGU ndiye anayempatia mtu mke na kaz pia Hujachelewa mpe...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mume wangu anataka kuniingilia kinyume na maumbile

    wewe n mwehu kabisa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ndoa ina mwaka sasa inanishinda, sina hamu ya kufanya tendo la ndoa na mke wangu

    yaan ww n bora ungeandika kiswahili tuu,tatizo lako unafikir ukiandika lugha ya kigen utaonekana bora,hopo hujaandika ki2 na hujapangilia maneno ili yalete maana
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    hayo yanakia kuwa mawazo yako ila mpango wa MUNGU lazma utimie
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mke kaondoka na vitu vyote vya ndani, naomba ushauri

    WAduu mmechangia point ambozo pengine ntaziunga mkoko, mm cjaowa na ninafikiria kama ingekuwa mm nngefanyaje . cha kwanza naona kutakuwa na sababu kama mlivyosema. kitu kingine n kwamba mwanamke anaweza kujihamulia hivyo. kama nngekuwa mm nngenunu vitu vingine na kumuowa mke mwingine...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Chuo Kikuu cha Dodoma

    Ah! mbona hiyo website iliyotoa hapo ukifungua inazingua?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Chuo Kikuu cha Dodoma

    Ah mbona hiyo website iliyotoa hapo ukifungua inazingua?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Namhitaji msaidizi maisha ya malovee

    babaye?
Back
Top Bottom