Inategemea huyo mama anakuje,kama anakula mawali tuu na Maugali Mtoto Hawezipata choo.mama hakiki§ha unakula balance diet,kula matunda hasa ndizi,Tikiti,nanasi,parachich,pia kula Mboga za majani kama spinach,Parsley ,mchicha na tembele.ugali na wali kula kidogo kidogo.na hakikisha wapata glas ya...