Recent content by akilizakonazake

  1. A

    JamiiForums Tanzania “Jakaya Kikwete is a Four Bs”, Kagame tells his closest aides.......

    Watanzania tumepumbazika kweli hakuna mfano! Yaani tukisikia honors ndo tunaona mambo yote. Yaani bichwa hilooo!Tunasahau kuwa tumeshaliwa miguu ishaisha sasa wanaanza kiwiliwili.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hii ni hatari sana!! kutoka kwa Mtela Mwampamba...

    Inasikitisha na kukatisha tamaa. Kama watz tumefika hapo basi inatilia shaka usalama wa raia waliowengi
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kijana Amiri Mtoi mhanga wa bomu la Arusha amezikwa leo Mkuzi - Lushoto.

    Poleni ndugu zangu kwa maswahibu haya Tumwachie Mungu. Inauma inauma tena sana.MUNGU yupo. Na ipo siku atasema basi yatosha. Ninamaumivu moyoni na machozi machoni nimeshawishi ndugu zangu wote kuchukia chama tawala
  4. A

    JamiiForums Tanzania Judith Moshi Kuzikwa leo 20/06/2013 SOKON ONE ARUSHA.

    Im new in this forum but since the happenings started happening i thought of where can i express my feelings. Im so depressed with what is happening in Arusha. Ooh! Lord see the tears of Arusha people
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hello jamii forums members

    Hi everybody mimi mgeni humu jamvini.Naomba ushirikiano wenu.
Back
Top Bottom