Snake in the city..angalia vizuri akiwa anamkamata black mamba huwa anamshika kwa makini na gloves na hutumia mushikio spesho hamshiki black mamba na bare hands..
It is the real show..!!
Kingine naweza kukubaliana na yule member aliesema yule nyoka wa kweny ile clip sio black mamba coz black...
Baba ndie wa kufanya kaz na kuleta chakula ndani..!!!
Kabla ya kuacha kazi jiulize hili:
A) Mshahara wako una effect yeyote katika familia yako,namaanisha kwa mumeo na watoto wako na upande wa ndugu zako je wanakutegemea..? Kama ni ndio hapo kuacha kaz inabidi uwe na plan B ambayo itakua ina...
Camera holder:
Condition: ni used kwa mwezi mmoja, sawa na mpya.!!
Carrying capacity:Dslr cameras,mirrorless cameras croped and full sensor cameras.
Location: tabata kinyerezi
Price: 55000tsh.
Contact 0713956901
Iko hivi kwa info chache niliyonayo..!!!
1..kaombe statement nssf uhakikishe michango yoote muajiri wako alikuwekea.
2..kama kuna Gaps zozote omba muongozo palepale watakuelekeza ama kukupa form umpelekee muajiri wako aandika receipt number (kama muajiri anadai alikuwekea michango yote ya miez...
Kama kuna mtu yeyote ambae anafahamu kampuni ambazo hutoa magari ya mkataba kwa ajiri ya biashara kama #uber #bolt na Indrive anifahamishe tafadhali.
Isipokua: FMG TANZANIA Inc.[emoji3]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.