Hii ndio list ya wachekeshaji bora wa aina zote katika nchi yetu, yani kuanzia kwa waliofariki hadi waliopo hai. Kama kuna wengine ambao sijawaweka kwenye list basi naomba uwaorodheshe hapo chini ili kuutambua mchango wao na vipaji vyao katika taifa letu.
1. Amri Athumani (King Majuto) RIP.
2...
Swali langu ni hilo wakuu, japo kwa upande wangu nilimkubali na nitaendelea kumkubali sana mzee Hassan Rehani Bitchuka.
Wewe je unakubaliana na huyo huyo wa kwangu?
Au Cosmos Chidumule?
Au hayati Tx Moshi?
Hapo waziri wa maji na viongozi wote wa dawasa wanatakiwa kutumbuliwa na kuteuliwa wapya. Maana wengine washafanya shida za watu kama mtaji wao kwa kukata maji na kuwauzia wengine kimya kimya.
Aweso ni waziri mzuri wa kuongea na kupiga mikwala ya hapa na pale lkn kuwashughulikiwa washenzi na...
Niliisikia hii wanaita eti fake pregnancy. Ila sasa kuna mwanamke fulan anadai kwamba yeye pia alikuwa na hili tatizo hadi akawa anahisi ni mimba feki. Lakini baada ya miezi 4 ndo akaja kugundua kwamba ana mimba ya miezi mi4. Ila hapo kabla vipimo vyote vya nyumbani na hospital vilionesha kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.