Siyo kimasihara sana ila sikutegemea Kama nitamla ilikuwa 2019.
Huwaga Kama Sina issue ya maana nipo nimekaa naingia mtandao wangu pendwa tele asa nipo kwenye group furani nachangia mada watu wapo active sana mda huo kwasababu tulikuwa tuna discuss issue za mapenzi .mda kidogo ukapita naona Kuna...
Katika harakati za maisha mwaka 2022 nilikutana na sister Fulani town yeye anakaa kigamboni katika story moja mbili akanambia anatafuta chumba au nyumba ya vyumba viwili maeneo ya barabara ya morogoro road kuanzia kimara Hadi kibaha kokote nikipata fresh, nikamwambia ilo limeisha niachie namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.