Recent content by AKILI PEVU

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Sugu kataka wawakatae hata kwa mawe viongozi wabovu?

    Sio mnakaa huku hamji vinavyotokea mnasema alipambanishwa na mtu dhaifu, we ulipambanishwa na nani?, alishinda kwa kishindo hata kuchakachua ilishindikana kusema hivyo ina maana hata wapizani wote bungeni walikutana na watu dhaifu, Ni hivi nen tupa/piga... mawe haimaanishi kama unavyodhani, wewe...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

    intelijensia yenu ya kipuuzi ndiyo imesababisha maandamano yawe mafupi, wazee wa kujichubua mnazidi kupotezwa, chademaaaaaa vemaaaaaa!!!!!!
  3. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazindua operesheni twanga kotekote

    Sana kua chizi kabisa! Ndiyo nini? Sasa hapo nani chizi kati yako na yeye, huyo chizi kaingia kwa Profesa na anamgaragaza, Usichukulie mtu Msanii w muziki ukaleta dharau, SUGU kwenye nyimbo zake katika ulimwengu wa muziki ametoa mistari ambayo huna hata ubavu wa kufikia na huyo unayemwita chizi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tamko la Chadema Mbeya

    Bora aende iliniuma sana maana wkt wa uchaguzi nilikuwa Mby, alichakachua maana kwa nguvu ya CDM alikuwa anashinda ila akashindwa na akuonyesha hali ya kushindwa bali kuchakachua coz alikuwa hataki ushirikiano wa kujadili hilo na wenzake, Sasa napumua IMEJIDHIHIRISHA KUWA ALIUZA JIMBO
  5. A

    JamiiForums Tanzania Chadema kufungua tawi UDOM

    Lema ni mwanaharakati wa kweli na afanyi kwa sifa bali anaonyesha ana chembe za fikra za kweli za kulikomboa taifa kutoka kwa wendawazimu wasiosoma alama za nyakati! Wangeoma wasingelileta limuswada feki
Back
Top Bottom