Samuya ni kilaza form four failure, watz walio wengi walimkataa kwamba HATOSHI kwenye urais ndio maana hawakutoka kwenda kumpigia kura oktoba 29 kila mwenye akili timamu anajua!.
Bashite kwa kujipendekeza & kusaka sifa hana masihara kabisa, hapo kwa hesabu zake mbovu kaona 2030 wapigakura waislam wanatosha kumvusha ktk uchaguzi mkuu!.
Wizara nyeti zote sasa hv chini ya wazenj, kuanzia fedha, mambo ya nje nk
Watanganyika wachache waliopewa nafasi serikalini hususani wizarani wametusaliti!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.