Recent content by akili maki

  1. A

    JamiiForums Tanzania Israel na Hamas zinakaribia kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kubadilishana mateka na wafungwa

    Israel haijapata kutekeleza mikataba yoyoye huyo ni mtoto wa America anadekezwa mno
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi zana za Kivita zinazoondoka US kuelekea Israel nashindwa kuelewa ni nani hasa anapigana na Palestine! Ni sawa na Libya Kwenye Vita ya Kagera

    Lazima Israel aimiliki Palestine ili iweze marekani kuweka mirija bara lote la arabu na kunyonya mafuta hapa America anaweseka na mrusi
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu huondoka nchini bila kuaga?

    Labda anaumwa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    WAKRISTO WANANUFAIKA NA BANDARI
  5. A

    JamiiForums Tanzania Waraka wa TEC umesomwa kwenye Jumuia yangu ya Mt. Marcelino. Tunawashukuru Maaskofu. Kesho utasomwa vigangoni na Parokiani Mt. Antoni wa Padua

    Nyie wakristo wana maslah na bandari sasa wanapupa mama amewashika pabaya
  6. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa Mkoa Mwanza (Kuhusu Mjadala wa Bandari): Walaaniwe wote wenye nia ovu na Rais Samia

    Mbona ametoa fursa ya kujadili na kurekebisha....lakini wanasiasa hawataki
  7. A

    JamiiForums Tanzania Yanga ilivyozoa jumla ya milioni 175 kwa Rais Samia

    Tupo kimya tunafakari 1) je mama ni mshabiki wa yanga 2) je washabiki wa simba watalipokeaje 3)kwa nini asiyafanye kwa taifa star 4) je aipelekei wananchi kuwa donge moyoni
  8. A

    JamiiForums Tanzania Natamani Yanga na Simba zisifike mbali msimu ujao, ili siasa isiwepo

    MAMA NI YANGA HAWEZI KUFICHA HISIA ZAKE
  9. A

    JamiiForums Tanzania Usiku wa Mwananchi: Mdee, Mbowe, Tundu Lissu, Prof Lipumba, Mbatia ndani ya Ikulu kwa " Dinner"

    HII NI SIASA TU....TUNATAKA MZUNGUKO WA FEDHA MTAANI
  10. A

    JamiiForums Tanzania Vigogoni gani wataondoka baada ya mkutano wa Kariakoo?

    Hadi unajiuliza hivi bunge lina umuhimu gani, watu wanasema vitu ambavyo bungeni hakuna anayeweza kuzungumza ayo. Ingependeza leo vikao vyao wangewekewa screen wakaona ukweli wa hali iliyopo
  11. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda zapigwa marufuku na Ulaya kuendeleza Miradi ya Mafuta na Gesi

    Sikieni enyi nchi na wakaao ndani yake. Vita ya uchumi ni ngumu na kuishinda kwake ni kushupaza shingo bila kubwabwaja. Yaani wanaona tu mnalaza pipes bila kuwatajataja wala kuwabeza na kuwaita majina yasiyo faa n.k. India china ethiopia n.k miradi yao mikubwa waliziba masikio na wakafanya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mashtaka ambayo hayati John Magufuli angeweza kufunguliwa iwapo asingefariki

    Mungu amemnusuru kwa kufa kwake mapema
  13. A

    JamiiForums Tanzania Wanaomtetea Mrusi dhidi ya uvamizi wake nchini Ukraine, Someni hii

    Niko na mrusi lazima nae awe mbabe,kwani akiwa mmarekani peke yake dunia haitakuwa salama ameumba mungu kuwa salama ya dunia ni nguvu ya mvutano mwacheni mrusi achukuwe ukrane na kila aliemsaidia ukrane amtie adabu
Back
Top Bottom