Recent content by akili kidogo

  1. A

    JamiiForums Tanzania CCM inamdhalilisha Rais Samia

    Samahani Mkuu mimi niko huku Namtumbo mtandao ni shida kidogo....., Naomba unikumbushe awamu ya kwanza aliyogombea Rais Samia Suluhu Hassan ilikuwa mwaka gani na alipita kwa kura ngapi..? Labda naweza pata jambo la kuwafundisha vijana wenzangu leo jioni baada ya shughuli za Shamba. Samahani...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Wakuu bado sijafanikiwa🥲🥲🥲
  3. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Msaada wenu Wakuu.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Poleni na mihangaiko ya siku nzima Wakubwa zangu kwa Wadogo zangu., Kama mada inavyojieleza natafuta kazi yoyote halali ambayo inaweza kunikwamua kwenye hii hali mbaya niliyonayo ya kiuchumi maana nimekuja kujikuta nina msongo mkubwa wa mawazo. Sifa zangu: Mtahiniwa wa mitihani ya ATEC 2(Hapa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi upscale shop

    Asante kwa taarifa
Back
Top Bottom