Recent content by akash1555

  1. akash1555

    Ushauri: Nimepata short wakati nauza vitambaa vya nguo

    Naombeni ushauri wenu, Mimi mfanyakazi nauza vitambaa, leo nimetia short 12,000 yani sawa na kitambaa meta 1 ila boss kanimaind. Nifanye nini ili ajirudu niweze kuendelea kama mwanzo?
  2. akash1555

    Nauza simu 300k

    Bado ipo
  3. akash1555

    Wakuu heshima yenu

    ...
  4. akash1555

    Movie gani ya mahusiano, mapenzi imeshawahi kukufurahisha?

    The game of love bongo movie part 1 had part 3
  5. akash1555

    Wakubwa ushauri wenu

    Sijakuelewa unamaanisha nn?
  6. akash1555

    Wakubwa ushauri wenu

    Me mwanaume
  7. akash1555

    Wakubwa ushauri wenu

    Nahitaji maombi kweli kabisa yani cjui niende wapi wakaniombee kanisani au msikitini
  8. akash1555

    Wakubwa ushauri wenu

    Hapo sawa
  9. akash1555

    Wakubwa ushauri wenu

    Muonekano wa vitu vya ndan
  10. akash1555

    Wakubwa ushauri wenu

    Sawa kabisa sasa ushauri wako nifanye nn
  11. akash1555

    Wakubwa ushauri wenu

    Sina aman kivpi
  12. akash1555

    Wakubwa ushauri wenu

    Mpenzi sina ila kazi nayo
  13. akash1555

    Wakubwa ushauri wenu

    Mmmmhhh kwa saivi kuhama bado
  14. akash1555

    Wakubwa ushauri wenu

    Nikiwa home nakuwa mtu wahasira siongei na mtu napooza sana yani mpaka kero na nikitoka home nakuwa fresh kabisa hivi mnaweza kunisaidia nini tatizo hasa
Back
Top Bottom