Recent content by Akas

  1. A

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu PSPA UDSM

    Naomba kufahamishwa ufaulu uanohitajika kusoma hi kozi hapo UDSM, na je ufaulu wa GS unatoka ngatiwa??
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwa waliochagua B.A Law Enforcement

    sorry kaka naomba unipatie muongozo kwa haya yafuatayo; 1. kwa mtu ambaye tayari Ni mwajiriwa inatakiwa awe na vigezo gani kujiunga na hiyo kozi. 2, je kwenye kutuma maombi Kama ana diploma ya sheria au form 6 anatakiwa kuambatanisha na cheti Cha polisi ili wamtambue Kama Ni Askari au...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa anayejua vizuri kuhusu degree ya law enforcement

    sorry kaka, Mimi Nina 2-11, naipnda Sana hiyo kozi, vipi kwa ufaulu huo naweza nikapata nafasi? Kuna jamaa aliniambia kwa sasa wanachukua mwisho 1-9. Just Kuna ukweli juu ya hili au Hapana.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta madesa ya Bachelor of Arts in Law Enforcement

    sorry kaka, naomba Kama ulifanikiwa kuisoma hii kozi unisaidie kuhusu (!) inachukua wanafunzi wangapi (!!) inahitaji ufaulu gani. Mimi Nina 2-11, naitamani sana japokuwa Kuna mtu aliniambia kwamba mwisho Ni 1-9, vipi Kuna ukweli juu ya hili au Hapana??
Back
Top Bottom