Duh kozi sio ya Arts like ulivyojikaririsha...Wewe kilaza nenda chuoni Ukakomae tu cha kozi chenyewe ni cha Arts ivi ungekuwa Mechanical engineering ingekuwaje? usiwe na ubongo wa Mende
Soma acha madesa.. .ndio yanatengeneza mawakili wasomiSalama wakuu?
Natafuta madesa ya Barchelor Of Arts In Law Enforcement "BALE" kozi inayo tolewa pale UDSM. Kama kuna mtu anachukua BALE au alisoma BALE pale UDSM, tafadhali naomba tuonane PM.
With Much Thanx in Advance
Ivi umeandika Nini apa hebu soma vizuri course hio ya itwaje? Ni engineering?Duh kozi sio ya Arts like ulivyojikaririsha...
atakutana na logistics from department of mechanical engineering CoET
Tecno mathematics from department of mathematics
Cybercrimes from cyberdesk ya police PT
Forensics science iko under mwalimu from ofisi ya mkemia mkuu.
the Rest ni courses za law watasoma na wanafunzi wa llB, ni course inayoitaji a lot of books, statutes and cases bila kusahau madesa kwa uhakika wa A, usimtishe mwenzetu ili hali hujui chochote.
Degree program ikiitwa B.A haimaanishi ni pure art, hizo apo juu ndio courses za mtu anayesoma law enforcement. Kiufupi ni multi disciplinary degree.Ivi umeandika Nini apa hebu soma vizuri course hio ya itwaje? Ni engineering?
sorry kaka, naomba Kama ulifanikiwa kuisoma hii kozi unisaidie kuhusu (!) inachukua wanafunzi wangapi (!!) inahitaji ufaulu gani. Mimi Nina 2-11, naitamani sana japokuwa Kuna mtu aliniambia kwamba mwisho Ni 1-9, vipi Kuna ukweli juu ya hili au Hapana??Salama wakuu?
Natafuta madesa ya Barchelor Of Arts In Law Enforcement "BALE" kozi inayo tolewa pale UDSM. Kama kuna mtu anachukua BALE au alisoma BALE pale UDSM, tafadhali naomba tuonane PM.
With Much Thanx in Advance
Wewe kilaza nenda chuoni Ukakomae tu cha kozi chenyewe ni cha Arts ivi ungekuwa Mechanical engineering ingekuwaje? usiwe na ubongo wa Mende
Uliyemuita mwenzio kilaza wewe ndo kilaza, tena kilaza kama Ndugai, Jobo wewe!Ivi umeandika Nini apa hebu soma vizuri course hio ya itwaje? Ni engineering?
Admission capacity ni 46 students. Hiyo div two yako ni kubwa sana, wapo wengi tu wamesoma hiyo kozi na div three. Ni kozi nzuri kwa law enforcers, police, takukuru, tcra, tra na other law enforcing agenciessorry kaka, naomba Kama ulifanikiwa kuisoma hii kozi unisaidie kuhusu (!) inachukua wanafunzi wangapi (!!) inahitaji ufaulu gani. Mimi Nina 2-11, naitamani sana japokuwa Kuna mtu aliniambia kwamba mwisho Ni 1-9, vipi Kuna ukweli juu ya hili au Hapana??
Ulipata ya pata mkuu?Salama wakuu?
Natafuta madesa ya Barchelor Of Arts In Law Enforcement "BALE" kozi inayo tolewa pale UDSM. Kama kuna mtu anachukua BALE au alisoma BALE pale UDSM, tafadhali naomba tuonane PM.
With Much Thanx in Advance
Habari kaka wewe ni mmoja wapo wa wahitimu wa hii courseAdmission capacity ni 46 students. Hiyo div two yako ni kubwa sana, wapo wengi tu wamesoma hiyo kozi na div three. Ni kozi nzuri kwa law enforcers, police, takukuru, tcra, tra na other law enforcing agencies
Habari kaka,Je wewe ni mmoja wa wahitimu wa hii course?Duh kozi sio ya Arts like ulivyojikaririsha...
atakutana na logistics from department of mechanical engineering CoET
Tecno mathematics from department of mathematics
Cybercrimes from cyberdesk ya police PT
Forensics science iko under mwalimu from ofisi ya mkemia mkuu.
the Rest ni courses za law watasoma na wanafunzi wa llB, ni course inayoitaji a lot of books, statutes and cases bila kusahau madesa kwa uhakika wa A, usimtishe mwenzetu ili hali hujui chochote.
Unaonekana una interest, uliza ujibiwe ila kama ni kuhusu materials unahitaji flash, ela ya photocopy na muda wa kuingia library tu..materials ni nyingi na mtazipata kutoka kwa waliowatangulia..(2nd & 3rd Year).Habari kaka,Je wewe ni mmoja wa wahitimu wa hii
Nilikua nahitaji kujua kuhusu mtaala wa hii course yani ina semester ngapi na katika kila semeaster ni module gani mtakua mnasoma na pia materials zake kwaajili ya kupitia pitia ilinione kama ninapo enda kuingia ni mahali sahihi kwanguUnaonekana una interest, uliza ujibiwe ila kama ni kuhusu materials unahitaji flash, ela ya photocopy na muda wa kuingia library tu..materials ni nyingi na mtazipata kutoka kwa waliowatangulia..(2nd & 3rd Year).