Kufoji vyeti ni kosa la jinai na mahakama ndiyo yenye jibu. Swali, Kama kuna mwalimu mzuri aliyefoji cheti anabidi aendelee kufundisha au afukuzwe kazi?
Hapana. Kulipana inategemea sana na watu wanakuihitaji kiasi gni. Kuna watu wanalipwa $500,000 kwa saa. $1000 kwa saa ni mtu wa chini sana kwa dunia za wenzetu.
Hiyo research ya kupima IQ inauliza maswali gani na watu wa elimu ipi? Ujinga au kutokufahamu majibu fulani siyo kigezo cha kuwa na IQ ndogo. Maswali yanayoulizwa wakati wa kupima IQ hayana uhusiano wowote na Africa. Kujua rais wa kwanza wa Marekani inahusiana vipi na IQ ya Mtanzania?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.