Watendaji wa TANESCO wilaya ya Muleba wachunguzwe na ikibainikwa waevunja sheria wawajibishwe, wamekuwa wakishirikiana na wafanyakaz wa REA kuwahujumu wananchi kwa kuwatoza fedha kinyume na utaratibu wa TANESCO na REA,.
Mfano ktk kijiji cha Bushemba kata Buganguzi wamewatoza wananchi Tsh laki...
Muda wowote kuanzia mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Magufuli ataingia katika viwanja vya Posta hapa mjini Ngara, watu wamefurika na uwanja wote umejaa watu, watakaofika baada ya saa nane watakosa sehemu hata ya kusimama, ntaendelea kuwaletea yanayojili
Kesho siku ya jumanne tar 22 sept dr magafuli, mgombea urais kupitia cha mapinduzi ccm atafika wilayan ngara kuomba ridhaa kwa wanangara il wamchangue kuwa rais wa tanzania, mkutano wa hadhara utafanyika ktk viwanja vya old posta, mkutano wa hadhara wa hadhara utatanguliwa na mkatano wa ndan...
waeleze viongoz mkutano huo urushwe live kupitia tvs, jana tulinyimwa uhondo tafadhari kama tatizo ni uchumi tuko tayar kuchangia il wananch wamuone rais wao
mwambieni tibaijuka asijisumbue coz akipita kura za maon ukawa tutamiliki jimbo saa asubuh, eti na issa samma anagombea jimbo la ngara vs gashaza, yetu macho but be care record inaelekea kuvunjwa kwa mara ya kwanza ngara kuongozwa na upinzani
Ndugu wadau wa elimu kiukweli nacte wamewachanganya walimu walioomba kujiunga na ordinary diploma. Walioapply waliambiwa watajiunga na masomo mwez wa nane na barua zao za kuingia kwenye mpango ktk halmashaur zao zinawaruhusu kuanzia huo. Cha kushangaza wameambiwa wajiunge na masomo yao mwz huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.