Photocopy zinatumia Tonners ambazo zipo za Kurefiil ukinunua, utapata na Tonner zake bure. Pia Printer ya Mabango ina Tumia wino wa Maji. Ukinunua Utapata na Wino wake wa Kurefill cc 100 kwa kila rangi bure. na Kuna Cartridge moja ya black ya ziada.
Mashine Tatu Zinauzwa Zimeagizwa Toka Uk. Hazijatumika Tz Bado.
1. Canon Ir C 3200N
Hii ni Printer, Scanner na Photocopying Machine Yenye Uwezo wa Kutoa Copy za Rangi na za Black and white kwa Ukubwa wa Size ya A4 na A3.
Mashine hii ina uwezo wa Kutoa Copy 32 kwa dakika kwa karatasi zote yaani...
Kwanza Weka Aibu Pembeni Maana Itakurudisha Nyuma. Angalia kama Upo Jirani na Shule, Vyuo au Njia Ambazo watu huwa wanapita au kukusanyika kwa Wingi. Fanya Mpango uwe Freelancer wa Mitandao yote ya cm, uwe una kazi ya kusajili line, kutengeneza special number, ku renew line, kuuza vocha n.k...
FINANCE AND ADMINISTRATION MANAGER AT NJOMBE COMMUNITY BANK
Njombe Community Bank is looking for a qualified Tanzanian candidate to fill the above vacancy position.
The candidate required must be highly organized, enthusiastic on the career, engaged, a proactive thinker and perceptive...
NAFASI:- SALES CONSULTANTS
KAMPUNI: TUNAKOPESHA LTD
SIFA: Elimu ya Sekondari, Diploma au Digrii ya Masoko.
MAWASILIANO: edson .olotu@gmail.com au ipeleke moja kwa moja Offisini Kwao Upanga Dar.
Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 15/09/2016
*******************************************************...
Policy Forum (PF) is a network of 76 civil society organizations brought together in their interest in poverty reduction, equity and democratization and pursuit to enhance and augment the voice of ordinary citizens in national policy processes. The network focuses on governance and public money...
Nafasi ya Kazi ya Udereva
Sifa:-
1. Kijana Umri usiozidi miaka 35
2.Awe Mzoefu wa Jiji la Dar
3.Uzoefu wa Magari, Manual na Automatic
4.Awe na Uzoefu wa Kusafiri Mikoani
5.Awe Anaishi Maeneo ya Magomeni, Temeke, Ilala na Maeneo ya Jirani na Jiji
6.Leseni Daraja C, Elimu Kidato cha Nne au Sita...
KIJANA MBUNIFU WA VIPINDI - GLOBAL TV
Global TV ONLINE ni televisheni ya kwenye mtandao inayafuatiliwa na watu wengi duniani,
inahitaji kijana mwenye uwezo na ari ya kuipeleka mbele TV hiyo mwenye sifa zifuatazo: -Anahitajika kijana wa kiume Mbunifu, Mwenye Ari kubwa va kazi ya Social Media...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.