Nafasi za Kazi Leo Tarehe 07/09/2016

Nafasi za Kazi Leo Tarehe 07/09/2016

Ajira Net

Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
11
Reaction score
14
NAFASI:- SALES CONSULTANTS
KAMPUNI: TUNAKOPESHA LTD
SIFA: Elimu ya Sekondari, Diploma au Digrii ya Masoko.
MAWASILIANO: edson .olotu@gmail.com au ipeleke moja kwa moja Offisini Kwao Upanga Dar.
Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 15/09/2016

*******************************************************

NAFASI: PROPERTY MANAGER
KAMPUNI: WAKICHA ESTATE DEVELOPMENT AGENCY
SIFA: Digrii ya kwanza ya uongozi wa biashara, Mbunifu na mwenye uzoefu wa miaka 5 kazini. Msiri, Msikivu na Mjuzi wa Kutumia Computer.
MAWASILIANO:-
Managing Director
P.P.E LIMITED,
P.O.BOX 22126
DAR ES SALAAM.

Mwisho wa Kupokea Maombi ni Tarehe 8/09/2016

NAFASI NYINGINE ZA KAZI KWENYE TOVUTI YETU NI:-

Sales Executive Officer At SSTL Group Tanzania


Geological Assistant At Acacia Mining


Program Officers (2 Posts) At Add International Tanzania


Kwa Nafasi Mpya za Kazi Kutoka Magazetini na Mtandaoni Kila Siku Tembelea:-

www.ajiranet.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom