Recent content by Ajax Ace

  1. A

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa tuliochaguliwa MUHAS 2017 - 2022

    Kesho et wanafungua mkuu??..........maana kesho ni wikiendi
  2. A

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa MUHAS diploma tukutane hapa

    Anhaa sawa mkuu.......tuendelee kusubr
  3. A

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa MUHAS diploma tukutane hapa

    Nmeskia vyuo vingine washaanza kutoa.......wanatuma kweny e-mail
  4. A

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa MUHAS diploma tukutane hapa

    Jamani eti joining instruction bado hadi leo?????
  5. A

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa MUHAS diploma tukutane hapa

    Duuh!! apo kaz kaz ynii amna kuremba
  6. A

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa MUHAS diploma tukutane hapa

    Hio ya o-level
  7. A

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa MUHAS diploma tukutane hapa

    Anhaa okay nmekuelewa
  8. A

    JamiiForums Tanzania Niulize Chochote Kuhusu (CLINICAL NEDICINE)

    Kuna ndug yang mmoja kachaguliwa hapo....labda nikuunganishe nae mupeane mawili matatu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa MUHAS diploma tukutane hapa

    Asante sana kiongoz kwa ushauri ila nachouliza ni kuwa........kwan waweza kuwa umechaguliwa na jina lako lisiwe released baada ya kukaguliwa na hao senate ama........maana umenishtua kidogo uliposema bado sijachaguliwa muhimbili.. Nahitahi ufafanuzi kidogo hapo mkuu!!!!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa MUHAS diploma tukutane hapa

    Mhhhh mkuu hata sijui mie
  11. A

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa MUHAS diploma tukutane hapa

    Dv 1 points 15 mkuu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa MUHAS diploma tukutane hapa

    Kwani masomo magumu kiongoz eenh
  13. A

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa MUHAS diploma tukutane hapa

    Asanteni wakubwa nimewaelewa
  14. A

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa MUHAS diploma tukutane hapa

    Tukiwa tunasubiri joining instruction tupeane mawili matatu kwa wote tuliochaguliwa hapo na hata pia wazoefu wa chuo hicho waliowah kusoma. Binafsi mimi nimechaguliwa diploma ya medical laboratory science but sijajua kuhusu mambo ya joining instruction pamoja na admission letter napataje maana...
Back
Top Bottom