Nadhani ushahidi muhimu katika kesi hii ni yale maelezo ya watuhumiwa ya kukiri kosa ambayo yaliwekewa pingamizi lakini mwisho wa siku mahakama ikayapokea!
Kuna tofauti kati ya kukosoa na kudhihaki. Tume ya Warioba na ile ya Kisanga zote zimependekeza muundo wa muungano urekebishwe. Kwa hakika suala la mwenge nalo sasa linahitaji mjadala mpana.
Kesi siyo ya mahakama; mwenye kesi ni serikali, yaani Rais. Kazi ya mahakama ni kupokea kesi na kuisikiloza. Wakati wowote mwenye kesi, yani serikali akiamua hataki kuendelea anaiarifu mahakama kesi inafutwa.
IGP anaju
IGP anajua mipaka yake kisheria. Anapoingilia vyama vya siasa siyo kwamba hajui balj anatekeleza maelekezo ya watawala. Awali ilidhaniwa vyama husika vitaogopa na kurudi nyuma. Hilo halijatokea; badala yake CHADEMA wamekomaa licha ya kukamatwa na kulala mahabusu. Jeshi la polisi...
Mzee mmoja amedai SSH haijui hii nchi! Nadhani madai hayo yanaweza kuwa na ukweli kiasi. SSH angekuwa anaifahamu vizuri hii nchi angejua kuwa jeshi la polisi siyo chombo cha kukiamini sana. Angekuwa anaifahamu nchi ikiwa ni pamoja na undani wa jeshi la polisi asingemeza jumla jumla taarifa kuwa...
Mungu apishilie mbali; Rais ni nembo ya nchi yetu na tusipende kuanika udhaifu wetu hadharani. Kuna mambo mengine ni ya hovyo ambayo hatustahili kumuonyesha mtu wa nje.
Is
Polepole anazungumzia kikundi gani? Sidhani nchi hii inaweza kuangukia mikono ya kikundi kibaya kuliko au hata kama kile kilichoishia March 2021. Kama kuna wakati nchi hii imepata kuongozwa na kikundi; tena kikundi cha watu wabaya sana ni baada ya uchaguzi 2015. Nchi ilikuwa mali ya mtu binafsi...
SSH na chama chake wanajua fika kwamba hawana tena uwezo wa kupambana kisiasa kwa hoja. Uchaguzi uliopita walipora kwa mtutu wa bunduki. Hata JPM aliwaambia wabunge wake kuwa hawakushinda uchaguzi. Yeye mwenyewe na "uchuma" wake wote alipiga magoti kuomba kura ingawa haikusaidia na kulaximika...
Gwajima ni kiongozi wa kisiasa. Katika suala hili zito hapaswi kuweka mawazo yake binafsi hadharani hasa yanapotofautiana na sera ya chama chake. Vinginevyo ajiuzulu kwanza nafasi yake kisiasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.