Yapenda Mtini naona ndio symbol ya Bar pale mjini maeneo ya deluxe
Jamaa naona amesimamia show kitambo kama muhindi hivi na Biashara zao, Kuna miaka walitaka kupabomoa hapo watu wa manispaa
Yule Jamaa kiziwi mtoto wa mmliki bado ndio anaiendesha?
Ohooo WiFi tena, Kaka yako si atakatika kiuno sana
Mwambie awe makini na watu wa Songea na Mtwara, kiuno wanazungusha watu wa huko kama feni nasikia
Kiuno hakina spea Madukani awe makini
Ondoa ujinga wako hapa JF
Mtu mpumbavu ni yule anayetaka watu waishi kama yeye
Mimi nakushangaa bado unaishi sehemu moja, Tunaozunguka Tanzania hii ndio tunafahamu kila mtu na maisha yake na Furaha zake
Usilazimishe Wamasai wakaishi Iringa kisa kuna mahindi
Usilazimishe wachaga wakaishi...
Una ushahidi,
Zile ni Propaganda tu za maneno
Angetaka ukweli angeacha vyombo vya habari viandike ukweli wa zile almasi
TBC ilitumika kuwapumbaza wapumbavu wa nchi hii
Channel zingine wakazitoa Dstv ili ibaki TBC ikipiga mapambio ya kuwadanganya watu
Haya sasa Angalia tangu aondoke Leo hata...
Mkuu Bucha ya Nyama Pori Dar mbona zipo, Kama mnahitaji namba ya Bucha au location nitawaambie
Halafu Baptist mbona Bucha ipo maeneo ya barabara ya huko sema unashuka hapo sheli unaelekea juu kidogo
Last month nilienda kulikuwa na nyama ya nyumbu
Mimi nilikuwa nataka swala aliniambia kila...
Hakuna totozi huku
Kama unataka totozi, Songea kuna uhaba na ukame sana
Sijaona mizigo wala watoto weupe huku
Wengi ni weusi sana kama Mbeya tu na wafupi wafupi sana
Hili sio jukwaa la kiswahili na Fasihi
Nenda kwenye jukwaa la lugha utakutana na rafiki zako mkajadili Nomino, vitenzi, viwakilishi, irabu na mambo mengine mengi ya vitendawili tega
Hujafika mtwara, Wanachotamka ndio wanachoandika watoto wa shule
Hakuna cha majaji, Hivi wewe mwenyewe hukuona mambo yalivyo hata mahakamani
Kwenye uchaguzi ukishaweka walakini tu shida
Kwanini watangaze matokeo wakati kuna majimbo bado?
Kwanini jinsi ya kupiga hesabu kura za mshindi calculation zina kizana, Kwenye hili jirekebisheni tumieni simple maths...
GDP=Gross Domestic Products
GDP ni Jumla ya bidhaa au huduma zilizozalishwa kwa kipindi husika mara nyingi hupimwa kwa mwaka mmoja
Songea wanalima Mahindi na sio Songea tuseme Mkoa wa Ruvuma
Yawezekana wanalima sana lakini yanasafirishwa nje ya mkoa au nchi huku wakulima wakilipwa makombo na...
Nimewahi lala sehemu inaitwa sijui Mpemba au sikosei kwa Mpemba
Sina hamu na Tunduma
Guest chafu chafu sana sana
Pale Tunduma kwenyewe sikuona jipya zaidi ya watu wanaobadilisha Fedha za kigeni
Hivi jamani watu huwa mnatembea kweli?
Tunduma hii ya Mbeya ilivyochoka vile unaleta ushabiki...
Mkuu stand kama kituo cha Makumbusho au pale mawasiliano Dar es Salaam, Kumbuka hiyo ni centre ya mkoa mkuu
Na ni mkoa una Mawaziri kila awamu ya uongozi tangu uhuru
Mpaka sasa wana huyo Jenista Mhagama na yule Jamaa mfupi mfupi Ndumbaru Waziri wa katiba kabla alikuwa utalii
Shida ndio inaanza maeneo ya kutoka na Familia kula upepo hakuna kabisa Songea
Mbeya Sijajua kama kumebadilika huko Nilitoka mwaka 2016 nina miaka sita sasa
Mbeya hakuna mipango miji, Watu wamejenga hovyo hovyo tu hakijulikani ni njia ya gari au ya miguu mtaani
Mbeya ni centre ya uchafu
Nimefika mkoa wa Ruvuma hapa mjini Songea baada ya miaka 18 tangu mwaka 2004, sioni mambo mapya kabisa wala ukuaji wa mji.
Hapa mjini naona majengo ni yale yale tu zaidi majengo kidogo sana yameongezeka kama pale opposite na Bank ya NMB zamani tulisema ni eneo la TANESCO. Kitu gani kinazuia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.