wapendwa, hii inafanya kazi Kama 'baby walker' isipokuwa yenyewe Ni ya kumfanya mtoto ajifunze kusimama na kum-keep busy maana Ina vimichezo, inafaa kuanzia miezi 4, miguu ikipata nguvu tu. Inakwenda kwa 50,000/- tu, nipigie, SMS, wats app 0686-427618. Picha imezingua ku-upload, wats app me...