Recent content by Aidx2021

  1. A

    Korosho zilizobanguliwa huuzwa wapi kwa jumla hapa Tanzania?

    Njoo mapema Mahanga Agro-Inputs. Tandahimba Mtwara mkabala na ofisi ya DC Jengo la Kanisa Katoliki. Utatimiza haja zako or email us: erastoaidan100@gmail.com or Insta: aidx_erazg or Call us: 0628399710/ 0768155483 or FB page: Dr. Aidx or WhatsApp us: 0628399710 or 0768155483. NB: No mtu kati and...
  2. A

    SoC01 Uboreshaji wa Shule za Upili za Ufundi Tanzania kuleta tija zaidi

    Sasa iyo wew ulifanya kipindi hichooo alaf ulikuta ndo waalimu wazalendo wanamaliza zama zao, nenda leo utafurah au nenda kaulize aliyepita 2012 to 2020 kama anaweza hata muulze Miniature Circuit Breaker kana anaijua hata mchoro wake hajui
  3. A

  4. A

    SoC01 Uboreshaji wa Shule za Upili za Ufundi Tanzania kuleta tija zaidi

    Vifaa kama hivi Technical Schools vilitumika kufundishia kwa electrical department sasa hivi hakuna hata moja katika shule za Iyunga tech, Ifunda, hata Moshi havipo. Jamaniiii
  5. A

    Serikali ya Tanzania yatoa Katazo la Misongamano isiyokuwa ya lazima kukabiliana na UVIKO

    Uchuro mtupu watuache tukashangilie kivyetuvyetu. WHO wanazingua toka kitambo sisi tunaingia uwanjani na tunatoka fresh tu. Akuna mtu aliyefariki. Wasitutishe kwani delta ndo nani, Tanzania tuondokane na kuburuzwa ondoeni hofu. Wanatangaza delta kama kiama vile akati poa tu
  6. A

    SoC01 Uboreshaji wa Shule za Upili za Ufundi Tanzania kuleta tija zaidi

    Leo nimeongea na Mkuu wa Moshi Ufundi anasema yote yako sahihi maboresho ni lazima yafanyike kuokoa shule hizi
  7. A

    SoC01 Uboreshaji wa Shule za Upili za Ufundi Tanzania kuleta tija zaidi

    Shule za Upili za Ufundi Tanzania (Technical Secondary Schools in Tanzania) ni shule maalumu zilizoanzishwa kwa dhumuni la kuandaa wataalamu. Zilijidhatiti zaidi kuandaa vijana wenye umri mdogo, mafundi makenika, umeme, useremala, ujenzi, usanifu, ushonaji na ususi. Lengo kuu lilikuwa ni kuandaa...
Back
Top Bottom