Recent content by Aiba

  1. Aiba

    China imepandisha 125% kwa bidhaa zinazotoka marekani , pia imesimamisha kuuza madini adimu kwa utengenezaji wa ndege vita

    I think Marekani ata jishusha na kutaka mazungumzo na China ila naamini Marekani ataandaa mapngo mkakati wa kumshusha China kiuchumi au kutengeneza vita vya ndani ya China japo nawo China wapo macho sana ila naona vita mpyaa kuibuka ya kijasusi na kufungana jela . Marekani kachelewa sana kwa...
  2. Aiba

    Tumuombe Mungu (Allah) awashushie kipigo watu hawa ili wamuelewe yeye ni nani na wafuate njia ya sawa duniani

    Dini zimewapumbaza watu mmekuwa kama vichaa aya mauaji duniani yalikuwa toka kitambo mtume wenu Mohammed aliuwa watu ili kueneza dini yake na Kuwaita wengine makafiri alafu Leo unaona maajabu wapalestina kuuwawa
  3. Aiba

    Pumzika kwa amani John Pombe Magufuli uliyoyafanya ndio yameanza kufanyika Marekani 2025

    Magufuli alikuwa na maono mazuri sana kuusu hii nchi ata Sera sake zilikuwa nzuri shida ilikuja alivyowakaribisha vilaza kuwa washauri wake na tamaa za madaraka ndyo alipoaribu maana kma aliiingiza wabunge wote wa chama chake bungeni wrote kutoa wawili tu iliashiria angebadili katiba na kujiweka...
  4. Aiba

    Ukraine inalipa gharama kubwa sana za vita kwa super powers, nchi imetolewa sadaka mchana kweupe

    Trump anachofanya kwa urusi ni kama kutoa hisani na zawadi maana kama si propaganda za urusi kwenye mitandao ya kijamii Leo hii asingeupata uraisi kwenye ile tem ya Kwanzaa haikuwa direct ila indirect way kwa kutumia account fake na kuweka habari nzuri za trump so anarudisha fadhila
  5. Aiba

    Marekani imeonyesha kuwa si mshirika wa kutegemewa katika masuala ya kimataifa. Ukraine na Ulaya wamejifunza kwa uchungu sana, Marekani yawakataa

    Nguvu ya marekani kwa nchi za ulaya ni kubwa sana kuliko mnavyidhani saivi waziri wa mambo ya nje wa marekani na Elon mask wansagia kunguni waziri mkuu wa German kuwa hafai kuwa waziri mkuu na uchaguzi ni mwezi wa 4 mwaka huu kwa mategemeo halisi ni kuwa chama chake kitapiteza vitu na ataanguka...
  6. Aiba

    Nini hasa siri ya amani, furaha, upendo na kudumu kwa mahusiano na ndoa yako kiasi hicho?

    Chakwanza kumbuka upendo na hisia ulizonazo leo kwa mwenza wako utapungua mbeleni au kuisha kabisa kwaiyo cha kujitaidi ni kuangalia yale machache mazuri anayokufanyia mwrnza wako na kuyathamini, kuleni chakula kwenye saani moja, fanyeni mazoezi ya mwili pamoja ivi vitu viwili vinasaidia...
  7. Aiba

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hiii ni karata mbaya sana kwa ukrein apaa naamini counter offensive imeshaanza ubaya unakuja kushindwa kwa hii litakuwa pigo bays sana kwa ukrein naona kaamua kusogeza kete ngumu sana ngoja tuone hiii wiki
  8. Aiba

    Hii hapa mikoa 12 inayoendesha uchumi wa nchi, inamiliki na kushikilia asilimia 70% ya uchumi wa Tanzania

    Inaumiza sana sana mkoa kama shinyanga, Geita, Mara penye madini mengi ya dhaabu lakin ndiyo kwenye amaskini mkubwa maji tu na shule ni shida hadi huruma na wananchi wanaona kawaida tu alafu tunawasingizia wawekezaji ila jukumu ambalo serikali ilitakiwa kulitekeleza kutoa at a asilimia 10 ya...
  9. Aiba

    Wanawake mnastahili pongezi kubwa katika malezi yenu katika Familia

    Marage bila ata kuweka magadi ukiweka mkaaa kwenye jiko utarudia mkaa Mara moja marage yameiva na haichukui masaa mawili kuivaa
  10. Aiba

    Wanawake mnastahili pongezi kubwa katika malezi yenu katika Familia

    Yani kupika tu ndyo umekuja kuandika uku kuna ugumu gni kuchemsha marage na kuyaunga wali ambao ukipika kwenye gesi auchukui dakika 30 kuiva aisee kuna wanaume hopeless kabisa nyie ndiyo wake zenu wakinuna unaweza lala njaa sababu hajapika
  11. Aiba

    Kwa wenye wasaidizi wa kazi majumbani (house girl), mnaishi nao vipi?

    Kama unapenda familia yako Fanya mapema uanze Kutafuta binti mwingine hraka ndani ya wiki moja uyoo mrudishe uyooo mtto kwao siku si nyingi ataenda kukuripoti polisi
  12. Aiba

    Kwanini Mkuu wa Majeshi(JWTZ)anatokea Kamandi Moja tu, wakati tuna Kamandi Sita?

    Kila nchi ina mifumo yake ya kijeshi kulingana na geography ya nchi yao ilivyo kwaiyo jeshi linaundwa kulingana na udhaifu na uimara wa mazingira yao yalivyoo sisi TZ askari wengi lazima wapate mafunzo ya infantry na ndiyo msingi wa jeshi letu ulivyo kulingana na geografia ya nchi ilivyoo then...
  13. Aiba

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Hii ni kujifariji kusema kuwa mashambulizi yalikuwa weak kiuhalisia USA,UK, na France wametoa support kubwa sana na yote sabbabu mashambulizi yametoka mbali imekuwa rahisi kujipanga kuyakabili ila naamini kabisa vita vikianza mashambulizi yataanzia karibu Iraq Syria na Lebanon
  14. Aiba

    Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

    Amuombe msamaha wa nn uko na akili kichwani kwelii watu wengine kama vichaaa kwenye hii nchi
  15. Aiba

    Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

    Weee ni mpumbavu kqbisa mjinga na mshamba wa wanawake na utaumizwa siku zote ukiendeleza uwoo ubwege mshenzi
Back
Top Bottom