Recent content by AI dennis

  1. AI dennis

    Yafahamu majukumu ya data scientist kwa kila siku

    Data scientists ni MTU anayetafuta pattern kwenye data nyingi (big data), Zifuatazo ni kaz za data scientists on daily basis Ku-build data storage systems Kwa ajili ya ku-store big data Ku-clean data, na kuziandaa Kwa ajili ya analytics Ku-build machine Learning models na kufeed models na...
  2. AI dennis

    Assist corporate to train, build and deploy artificial intelligence models

    Train, build, and deploy artificial intelligence models such as;- Machine learning models Deep learning models Natural language processing models Computer vision Starting with 500,000/ Tsh per model and beyond Contact 0713520180
  3. AI dennis

    Hadoop data storage for semi structured data and semi structuref

    Hadoop data storage for semi structured data, and unstructured data Hadoop distributed storage Hadoop centralized storage (data lake) Cost of acquire and own hadoop Hadoop is free and open software, it has no licence fees Hardware Recommendations Hadoop runs on commodity hardware, it...
  4. AI dennis

    ACT - Wazalendo yamuonya Jafo kutothubutu kuchapisha majina ya waliokuwa wagombea wake

    Huwezag jikita kwenye hoja we ni matusi inaonekana una upeo Mdogo sana
  5. AI dennis

    CHADEMA, lini mtajifunza kuacha kukurupuka?

    Umehamia kwenye matusi badala ya kujikita kwenye hoja inaonekana umepanic
  6. AI dennis

    Wamarekani Weusi ndiyo sababu homicide na crime kuwa juu Chicago, Baltimore, Atlanta, Washington DC n.k

    Kuna watu wanabagua waafrika kama warabu ambao majority ni waislamu
  7. AI dennis

    Unafiki wa Wanasiasa Wapinzani, Uongozi wetu na Hatma ya Tanzania Sura ya 1

    Tatizo wan Tatizo wananchi wako usingizini huwez laumu kikundi cha viongozi wachache ambapo kukithibiti ni rahisi.
  8. AI dennis

    Unafiki wa Wanasiasa Wapinzani, Uongozi wetu na Hatma ya Tanzania Sura ya 1

    Mtoa mada ana upeo Mdogo sana, tatizo LA watanzania ni uelewa mdogo, anafikiri kikundi cha viongozi wachache watafanya nin kama wananchi hawajitambui Tindu kapigwa risasi mchana kweupe hajapewa fedha ya matibabu, wananchi wanaona ni sasa. Tanzania mpaka siku wananchi watoke usingizi ndo...
  9. AI dennis

    Wamarekani Weusi ndiyo sababu homicide na crime kuwa juu Chicago, Baltimore, Atlanta, Washington DC n.k

    Je unanijua jibu ni hapana, na unauhakika sijaishi marekani jibu ni hapana, usimhukumu MTU usiemjua
  10. AI dennis

    Kusitishwa kwa huduma za kifedha na kibenki toka Falme za Kiarabu kuja Tanzania

    Nadhani wanafanya hivyo ili kupunguza demand ya fedha za kigeni ili shillingi iimarike dhidi ya dola, ila wanatesa watu
  11. AI dennis

    Wamarekani Weusi ndiyo sababu homicide na crime kuwa juu Chicago, Baltimore, Atlanta, Washington DC n.k

    Tofautisha vita, magonjwa na crime ni vitu tofauti vyenye malengo tofaut vitakuaje sawa, mfano walichokua wanafanya south Africans Kwa fellow Africans huwez sema ni wazungu wako responsible
  12. AI dennis

    Wamarekani Weusi ndiyo sababu homicide na crime kuwa juu Chicago, Baltimore, Atlanta, Washington DC n.k

    Nimeongelea brazili nchi inayoongoza kuwa na homicide duniani na haiko kwenye vita
  13. AI dennis

    Wamarekani Weusi ndiyo sababu homicide na crime kuwa juu Chicago, Baltimore, Atlanta, Washington DC n.k

    Ukiangalia miji yote yenye population kubwa ya African Americas ina uhalifu Mkubwa sana. Mfano mji kama Washington DC ambao una federal security headquarters zote kwenye metropolitan yake, lakini bado uhalifu uko juu sababu ni kuwa na African America both in city and metropolitan. Chicago hali...
Back
Top Bottom