Recent content by AI BRAINFULL

  1. AI BRAINFULL

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuondoa kitambi bila kukonda?

    Kitambi na mitako mikibwa ni mifuta iliyoshikamana sasa fanya mazoez ya hasa joging kunywa maji mengi punguza wanga na sukar
  2. AI BRAINFULL

    JamiiForums Tanzania Kiongozi gani wa CCM na SERIKALI aliyopo madarakani unahisi NAYEYE atakutwa na yaliyomkuta POLEPOLE NA NCHIMBI?

    Watu wa vyama pinzani pamoja na wana harakat wakipotea sio habar mpya maana hawana ulinzi wala mamlaka ila kwa ccm na serikali lazima ifikilishe maana wao ndio chama tawala
  3. AI BRAINFULL

    JamiiForums Tanzania Kiongozi gani wa CCM na SERIKALI aliyopo madarakani unahisi NAYEYE atakutwa na yaliyomkuta POLEPOLE NA NCHIMBI?

    Ukitumia mitambo ya kisasa kuwapima ccm utagundua kua sasa wanaenda kwa kunyweshana vikombe vyenye sifongo hasa wale top list ya nchi na mimi naona huko mbele kuna watu watapotea hasa wa hawamu hii
  4. AI BRAINFULL

    JamiiForums Tanzania Chacha: Nani asiyejua kuwa Viongozi wote na Dola ni Mali ya CCM?

    Lisu alisema majaji,mapolice yate ni masisiemu mkabisha
  5. AI BRAINFULL

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wanaomzungumzia Wanu na Abdul, hawajawahi kukutana nao

    Baba levo ni chawa ila hamkuti CHALAMILA HATA CHEMBE
  6. AI BRAINFULL

    JamiiForums Tanzania Lissu anaogopa kunyongwa ndio maana anajitetea siku tatu mfululizo

    Mama yako anaweza kutumia masaa mangapi kujitetea asinyongwe bila ya mawakili
  7. AI BRAINFULL

    JamiiForums Tanzania Msanii Gachi aliyeimba wimbo wa “Samia Tunamkubali, Alalamikia Kuvunjwa kwa Biashara Yake Singida

    Yeye ni msaani atumie usanii wake kupata kipato aachane na vibanda SAMIA WOYEE
  8. AI BRAINFULL

    JamiiForums Tanzania RC Ruvuma azindua Boti ya Uokoaji yenye thamani ya Tsh. Bilioni 1.5

    Ruvuma ndio mkoa wenye garama sana kwenye vitu vya serikali KWA HAPA NCHINI yawezekana vinatetwa kwa ulinzi mkali tukumbuke mkuu wa mkoa ni mu JWTZ
  9. AI BRAINFULL

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mamba tulio nao Tanzania ni wakali sana? Jihadhari na mito au sehemu za maziwa zenye mamba Tanzania

    Mimi kwa tafiti zangu uchwala nimepata majibu kua mamba wote ni hatar bila kujali spishi zao kinachosababisha hawa wa afrika kuonekana hatar zaid kuliko wengine na kusababisha vifo vingi ni ELIMU YETU SISI WA AFRIKA NA UMASIKINI WETU vinasababisha kua wahanga sana mf mito kutokua na...
  10. AI BRAINFULL

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mamba tulio nao Tanzania ni wakali sana? Jihadhari na mito au sehemu za maziwa zenye mamba Tanzania

    Mimi kwa tafizi zangu uchwala nimepata majibu kua mamba wote ni hatar bila kujali spishi zao kinachosababisha hawa wa afrika kuonekana hatar zaid kuliko wengine na kusababisha vifo vingi ni ELIMU YETU SISI WA AFRIKA NA UMASIKINI WETU vinasababisha kua wahanga sana mf mito kutokua na...
  11. AI BRAINFULL

    JamiiForums Tanzania Gerald Hando: Nitanunua Jezi ya Taifa Stars, Lakini sio hizi Mpya

    Wazir wa habari na yeye mwana habar tena chawa je utategemea atakua upande upi?
  12. AI BRAINFULL

    JamiiForums Tanzania Kabla SANDALAND je timu ZA TAIFA zilikuaga na mzabuni gani?

    Kwaiyo ili jez itengenezwe kupitia mzabuni inabidi kuwe na kuandaa AFCON?
  13. AI BRAINFULL

    JamiiForums Tanzania Kabla SANDALAND je timu ZA TAIFA zilikuaga na mzabuni gani?

    Au ndio majungu na fitana tuzichukulie kama changamoto
Back
Top Bottom