nimekuwa na sintofahamu juu ya ukweli kuhusu matumizi ya hizi oil kulingala na umbali...mara hii weka inakwenda km3000 mara hiii 5000km naomba kufafanuliwa ni kipi zaidi unatakiwa kujua katika kujua ni oili ipi inachukua umbali upi?? na jee mara unasikia oil fulani ni nzita sinzuri mara hii...
wadau naomba kueleweshwa suala zima la oil....
mfano watumia gari dogo ist...unakuta unaaambiwa weka oil flan ya km 3000 mara mwingine oil hii kma 50000 mara ooo oil hii nyepesi sana si nzuri..mara hii nzito sana si sawa!! basi sijawah kuwa na jibu sahihi ni oil gan kwa ajili ya matumizi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.