Recent content by Ahmedlee

  1. Ahmedlee

    Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    Mi sijaona matokeo wameniandikia tu No published interview yet
  2. Ahmedlee

    Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    Jaman nisaidieni mna angaliaje matokeo katika account nami nataka kuangalia
  3. Ahmedlee

    Msaada baada ya kushindwa usaili wa TAESA

    Sehemu gani wanaweka nami niangalie nishawai Fanya nao interview
  4. Ahmedlee

    Msaada baada ya kushindwa usaili wa TAESA

    Msaada unakuwa unajuaje kama interview ya taesa nilifaulu au nilifeli kupitia hiyo account yao
  5. Ahmedlee

    Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    Leo wamenipigia simu Taesa wakaniuliza kama nimepata kazi nikawajibu bado wakaniambia watanirudia nipo nasikilizia simu yao, tayar nilishafanya interview Na training
  6. Ahmedlee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hata mimi kaka sijakiona na sehem ya cheti cha kuzaliwa
  7. Ahmedlee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwa sababu ktk tangazo lao wamesema wanaitaji hivo vitu
  8. Ahmedlee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Jaman naombeni msaada katika application ya TRA sioni sehemu ya kuweka birth certificate na passport size katika ile system yao aliyefanikiwa naomba msaada
  9. Ahmedlee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Msaada jaman aliyewahi kufanya usahili mamlaka ya maji na usafi wa mazingira kada ya Accountant assistant maswali yake yanabase wapi katika written na oral
  10. Ahmedlee

    Kazi au internship ya uhasibu

    Habari! Nimemaliza bachelor ya Account lakini piah nina diploma ya Account Msaada kwa yoyote mwenye ufahamu wa kampuni au ofisi inayohitaji mhasibu iwe nafasi ya kazi au volunteer kwa level ya diploma au degree nipo tayari kufanya mawasiliano yangu 0655731336
  11. Ahmedlee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Yeah hizo zipo mi mwenyewe ninayo hiyo hata ile tamaa ya pdf imetoka Yani , not selected afu uwepo ktk pdf wacha tusubiri miujiza
Back
Top Bottom