Recent content by Ahmadmenye

  1. A

    Madaraka Nyerere: Nitagombea ubunge kama mgombea binafsi na sio chama cha marehemu baba yangu

    Acheni blablaa nyie hakuna mbunge wa sasa wa chama chochote atakayekubali kuachia kwa hiari yake labda wale wachovu,pesa itatumika tu hata kwa wabunge wa upinzani. siasa inajilipa ukiwekeza nchi hii ya wajinga
  2. A

    Zitto: Mshahara wa Rais wa JMT ni sh 384/= mil kwa mwaka

    Zitto wacheni kubwabwaja,wanasiasa wote wenye vyeo mnatafuna nchi,tofauti ya kipato ni kubwa mno. Tuambie Chadema mkiingia madarakani mtapunguza mshahara wa Rais kuwa Tsh 2 000 000 na mbunge 750 000 kama hawajakuua wenzio. wacheni blablaa.wanasiasa mnatufanya sisi wananchi...
  3. A

    MKATABA WA MAFUTA ZANZIBAR Shivji amvaa Dk. Shein

    wewe kwa mapungufu yako ya akili unadhani Waislamu wameshindwa kuandika hiyo MoU? tuna wasomi wengi tu wa kuandika mengi zaidi ya hiyo,dini yetu inatukataza unafiki,serikali imetuundia chombo sisi Waislamu ambacho hatukitaki,tukishapata chombo chetu huru,ndio tutaamua nini cha kufanya na tegemea...
  4. A

    Zitto Kabwe bora unatafakari upya Ubunge kuuweka rehani, wewe mtu muhimu kwa Taifa

    kakuambia nani ulaji wa siasa unaachika kwa hiari? mshahara na marurpurupu unakaribia Tsh 20 million bado uenyekiti wa kuzunguka nchi nzima,hata kama Zitto hachukui lakini yapo mengine,na ukimaliza Tsh 60 million mezani bila kuhangaishwa kama wastaafu ili zikuwezeshe kurudi bungeni,tume ya...
  5. A

    Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

    hivi vyama vya siasa ni miradi ya wajamaa hao,lazima atafutwe bingwa wa kukwepa auditing ili siri zisivuje,wewe mzee tulia huko ulipo waachie vijana wako wajibu,you are very senior here
  6. A

    Mshahara wa mwezi wa waziri mkuu ni sawa na mshara wa zaidi ya walimu 50

    wewe ndio mwenye mapungufu,ukijadili kitu lazima ulinganishe na kingine ndio utapata jawabu maana threads zenyewe ndio zimeelekeza hivyo hawawezi kuchangia chochote hadi wajumuishe na ccm hata kama mada haihusiani na ccm. upoo?
  7. A

    Siku ya Vichaa duniani na kuongezeka kwa matukio ya vurugu nchini

    Even if you are there for foreign aid,who are you in our country leadership to be recognised there? Cheap politics in advertisement. Unakumbuka siku ile ulipombusu mkono Sabodo alipowapa msaada wa kujenga chuo cha uongozi? kumsujudia Sabodo uliimanisha nini? na wewe huna ubavu wa...
  8. A

    Siku ya Vichaa duniani na kuongezeka kwa matukio ya vurugu nchini

    Even if you are there for foreign aid,who are you in our country leadership to be recognised there? Cheap politics in advertisement. Unakumbuka siku ile ulipombusu mkono Sabodo alipowapa msaada wa kujenga chuo cha uongozi? kumsujudia Sabodo uliimanisha nini? na wewe huna ubavu wa...
  9. A

    Siku ya Vichaa duniani na kuongezeka kwa matukio ya vurugu nchini

    Tz imejaa nusu vichaa sababu wakiambiwa chochote na wanasiasa wanafuata/wanashabikia hata kama hakina faida kwao. muda wa kujiuliza na muda wa kufikiri hamna,hebu angalia threads ndipo utajua hamnazo tena huenda wengine wapo vyuoni
  10. A

    Mshahara wa mwezi wa waziri mkuu ni sawa na mshara wa zaidi ya walimu 50

    tuambie mshahara wa Dr Slaa na wabunge ni sawa na watu wangapi wa kima cha chini cha mshahara
  11. A

    Sugu aitakatisha Mbeya

    ndio hapo utaona ujinga watz. hizo ni programu za serikali kuboresha barabara kuu na za miji. kuna siku watsema mchungaji wa Iringa ndio kajenga Dodoma hadi Iringa. hao jamaa hamna kitu ni robbots
  12. A

    Vijana 11 wakamatwa Mtwara wakiwa na Silaha za Kivita na CD za Al-Shabaab!

    nyie mliokuwa mkishangilia fujo za Mtwara sasa mnalalamika nini? kama ni Al shabab na ije tu,tuone bomu itachagua huyu chadema au ccm au huyu mkiristo au muislam.huo ni upumbavu wenu wa kushabibikia mambo bila kujali madhara ya baadaye,kama kuna anayewaagiza kufanya hivyo anawapoteza kwa...
  13. A

    Madereva wa magari ya abiria wa kwenda mikoani wamegoma

    Niko ndani ya bus naelekea Moshi
  14. A

    Magufuli: Wanaogoma wapaki Malori yao Nyumbani na wasiyaweke barabarani

    acheni upuuzi wa kusema vituo vya mizani ni janga la kitaifa. bila hivyo vituo barabara zitaisha na katika kuzijenga upya ni mimi na wewe ndio tutazijenga kwa kodi tutakayotozwa. Wagome tu kuna malori mengi yanasaka kazi
Back
Top Bottom