Recent content by Ahlul Kahfi

  1. A

    Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

    I salute you for the great comment, wakati mwingine mtu aje na statistics na physical or tangible evidence then at least tunaweza kuanzia pale. Inasikitisha tena bila kufikiri kama great thinker mtu anakuja kutueleza kuwa "akaanza kuajiri wenzetu" so inaimply hali ilikuwa mbaya sana kwa hao...
  2. A

    Mishahara ya Marais wa Afrika, Kikwete aongoza Afrika ya Mashariki

    Alichokisema ni sawa kulingana na mwaandishi mleta hoja/mada, tatizo labda naloliona yawezekana digits zisiwe na uhalisia, source za gazeti hazijawekwa bayana ambayo ndiyo ingetusaidia zaidi, though haiingii akilini mzee Museven aweze kulipwa hiyo amount kwa mwaka, hata hivyo everything is...
  3. A

    Msaada: Nikiweka laini ya kibongo haisomi

    Nenda kwenye setting kisha resore factory setting Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  4. A

    Mwandosya aweka ukweli mezani kuhusu hujuma za Lowassa na Apson Mwang’onda

    Hivi ni kweli kabisa mtanzania ni mwepesi kusahau kwa haraka kiasi hiki? Pesa za kula leo na kesho zitatufikisha wapi? Sitaki kuamini katika hili, labda watanzania tuna mapungufu fulani, na hatujayafahamu, so itabidi tukae tujitafakari sana kuyatafuta mapungufu yetu, nchi siyo ya "maabara" ya...
Back
Top Bottom