Recent content by Ahlambby

  1. Ahlambby

    Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi kozi, washaurini kabla hawajaenda kupoteza muda

    Vp na kuhus course ya data science ni nzur au vp naomb mutuelekezee
  2. Ahlambby

    Nataka kuwa Lecturer, ninahitaji GPA ya ngapi?

    Ili uwe lecture unatakiwa uwe na gpa isiyoshuka 3.5 kwaio upate hapo na kuendeleaa apo ndo unauwez wa kuwa hivo na ten ni ktk mithn yko yote mpk utapomaliza chuo
  3. Ahlambby

    Samia Scholarship ilitangazwa Septemba 27, leo Septemba 29 majina ya waliopata yatolewa. Kuna sehemu tunakosea!

    Kwaio hiz scholarship ni za wat wa 1 tu kwaio sis wenye 2 na wenye 3 hawachukuliw heee jmny ubaguz huuu
  4. Ahlambby

    Uliza chochote kuhusu kuhama Chuo kwa upande wa vyuo vikuu

    Na vp kuhusu mkop ni njia zipi utatumiaa mpka mkop ukahama kutoka chuo ulichotok kwend chuo unachotak
  5. Ahlambby

    Uliza chochote kuhusu kuhama Chuo kwa upande wa vyuo vikuu

    Swal lang mm nikwamb nimeomb chuo ila natak kuhama kwaio ni mda gan utachukua kuweza kupata transfer kwend chuo kingine
  6. Ahlambby

    Chuo gani cha diploma cha serikali hakina mambo ya 'kisekondari'?

    Hiv jmny kwan inaruhusika km mm nimechukua degree ya data scienc asa natak degree ya md ivi wanakubali
  7. Ahlambby

    Niulize chochote kuhusu Bachelor of Clinical Medicine and Surgery (BCMS)

    Duh pole sna ila nahis hakun chuo ich kwa tnz
  8. Ahlambby

    Diploma ya Radiotherapy/Radiology kwa Vyuo vya Serikali

    Mwanz bugando unaweza ipata hiyo
  9. Ahlambby

    Ni ipi namna bora ya kusoma masomo ya takwimu na kupata GPA nzuri?

    Ni njia ipi nzur ya kusoma masomo ya takwimu ktk chuo cha eastern africa training center na kufaulu vzur bila kupat supp wal disco naomba msaad juu ya hilo.
  10. Ahlambby

    Msaada kwenye machaguo ya Vyuo

    Unaweza omba chuo kingine ... Kucomfirm haijalishii ila unawez na kam ukipat ndio mwenyeo utadecide
  11. Ahlambby

    Dirisha la Maombi ya Samia Scholarship lafunguliwa

    . "SAMIA SCHOLARSHIP itagharamia...... bora usome tnz sometme
  12. Ahlambby

    Dirisha la Maombi ya Samia Scholarship lafunguliwa

    Ni gpa ndog ikiwa utajipangiaa ila kwa masomo ya sayanc ni shid san mpk msul ukaze
Back
Top Bottom