Recent content by Ahadi Augustino Mlewa

  1. Ahadi Augustino Mlewa

    Wafuga kuku, njooni hapa niwaeleze ukweli kuhusu hii industry

    Asante sana ndugu, nafurahi kujumuika humu ili tuendelee kupeana elimi zaidi na tufuge kwa tija.
  2. Ahadi Augustino Mlewa

    Wafuga kuku, njooni hapa niwaeleze ukweli kuhusu hii industry

    Kuku wa Mayai kifaranga tunauza Tsh 1,700/= Ila kabla haujamnunulia wala Kulipia Vifaranga, mlete kwanza kwenye semina apate shule Indio tumpe vifaranga.
  3. Ahadi Augustino Mlewa

    Wafuga kuku, njooni hapa niwaeleze ukweli kuhusu hii industry

    Layers was hawana mambo Mengi. Kwanza hakikisha wamepigwa Maleks kutoka shamba unapowanunua. wakifika kwako, wape antibiotic Moja ya kukausha vitovu, kama walisafiri umbali wa zaidi ya 100km wape glucos and VV is true. Pili hakikisha unawaandallia foto la angalau Siku 14 za mwanzo. Kisha...
  4. Ahadi Augustino Mlewa

    Wafuga kuku, njooni hapa niwaeleze ukweli kuhusu hii industry

    hahahah, eti niwakusanye, mimi niko hapa kushare elimu niliyonayo sipo hapa kumkusanya mtu.
  5. Ahadi Augustino Mlewa

    Wafuga kuku, njooni hapa niwaeleze ukweli kuhusu hii industry

    One day chick inategemea ni kuku gani, kuna aina nyingi za kuku na wote wana matunzo yao na chanjo zao tofauti tofauti, unaweza kufika kwenye semina zeta au ukanicheki kwa Namba 0713071701 whatsapp kwa Maelekezo specific.
  6. Ahadi Augustino Mlewa

    Wafuga kuku, njooni hapa niwaeleze ukweli kuhusu hii industry

    Karibu, Tuko Kimara Temboni, utajionea mkuu. Project ni kubwa na industry ina mambo Mengi sana unayoweza kufanya ukapata kipato.
  7. Ahadi Augustino Mlewa

    Wafuga kuku, njooni hapa niwaeleze ukweli kuhusu hii industry

    Habari yakO Mfugaji na mdau. Niko hapa kukupa elimi na ukweli juu ya Ufugaji kuku, achana na zile story za madaktari wa SUA wanaomaliza na degree zao na hawajafanya mazoezi au practical, ukija hapa utaambiwa ukweli kuhusu hii industry, kuanzia mabaya yake, uzuri wake na faida zake kiuchumi na...
  8. Ahadi Augustino Mlewa

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Nicheki utapata 0713 071 701 Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Ahadi Augustino Mlewa

    Tunauza kuku wa kienyeji, mayai, incubator na vifaranga

    mashine ndogo kabisa ni ya mayai 264 na ni Tsh 1,450,000.
  10. Ahadi Augustino Mlewa

    Tunauza kuku wa kienyeji, mayai, incubator na vifaranga

    kifaranga kimoja ni sh 1500, na ukiweka oder unapata baada ya siku 21, na kwa walio mbali huwa tunatoa elimu kwa wtsap, ni nji arahisi sana, maana naweza hata kukutumia picha.... 0713071701, namba yangu hiyo ya watsap.
Back
Top Bottom