Recent content by AH forever

  1. A

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

    Hivi hakuna sheria inayoweza kutumiwa hawa wakatiwa hatiani? Maana haya ni mauaji kama mauaji mengine.
  2. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna kila dalili CCM wakakatisha kampeni. Sababu ni hizi hapa

    Mkuu umesababisha nicheke kwa sauti. Eti "malori ya kubebea ng'ombe"
  3. A

    JamiiForums Tanzania Itakuwa ni fedheha kubwa sana kwa chama kuanza upya mchakato wa mgombea ni aibu na ishara ya kushindwa

    Hivi hii michakato inahusisha CCM tu? Hivi Lipumba miaka yote anagombea tangu 95,2000,2005,2010,2015 na 2020 huwa kuna mchakato wa ndani? Mbowe 2005 alipambanishwa na nani? Huko kwa mzee wa Ubwabwa,huwa anapambanishwa na nani? Dovutwa yule? NRA? nk Nk Nk
  4. A

    JamiiForums Tanzania Non-granta kwa Polepole

    Nafikiri alimaanisha "persona non-grata"
  5. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Anaandika Boniface Jacob: Hatimaye CCM waanza rasmi kumlilia Tundu Antipas Lissu na CHADEMA!

    Nafikiri BoniYai angeenda mbele zaidi kwa kuwataja kabisa waliompigia simu ili kudhibitisha madai yai yake. Vinginevyo itaonekana kama uzushi kama zushi zingine.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu uchumi au biashara

    Sina uhakika kama umewahi kujitoa kwa namna kama hii ambayo hata kama haitakata kiu ya wote lakini wengi tutaokota maarifa mawili matatu. Ushauri wangu kwako,baada ya kugundua udhaifu fulani,ulikuwa na nafasi ya kumshauri ili aboreshe bandiko sio kumfanyia attack kama ulivyofanya. Hivi akikaa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu uchumi au biashara

    Wewe umefanya kipi positive kwa wanajukwaa hapa kama alivyofanya mleta uzi unayemshambulia?
  8. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 GE2025 Spika Tulia amemhakikishia Esther Matiko ubunge Tarime mjini kupitia CCM

    😂 hili sio shambolio kweli?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Licha ya Tanzania kutajwa kuwa na Viwanda 28,000 ila hatumo kwenye orodha ya Nchi 10 Za Viwanda Africa. Tumezidiwa na Zambia, Tunisia n.k

    Bora yule waziri wa viwanda Charles wa kipindi cha Magu.. Jamaa alikuwa anahubiri habari za viwanda hadi unajihisi uko Japan
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hawa na wenyewe wanasema wanataka ubunge ni zaidi ya vichekesho!

    Mkuu,umenitusi mimi au Kishimba?
Back
Top Bottom