Sawa kaka nimekuelewa,Ila nina swali , kwamba nikisoma HGL advance, alafu nikaenda kusoma archeology ili niwe archeologist na Kama wanahitaji biology hapo,naweza Nikasoma hiyo kwasababu nilifaulu biology form 4 ety? naomba unisaidie hapo kaka
Hapo hapo naomba nikuulize kakaangu, kwamba Kama maths nilipata "f" alafu masomo mengine no kapata c kwenda juu, hivyo naweza Nikasoma hiyo radiology nikifika chuo,Ila Sasa hivi nimeenda kusomea comb ya HGL advance
K
Kaka shikamoo,Mimi nilikua natafuta ushauri na nikaona umeshauri huyu hivi naomba na Mimi unisaidie kuhusu kusoma comb hii ya HGL naomba unisaidie KAKAANGU
Kaka naomba unisaidie Kama nikisoma hii hgl alafu nikaenda kusoma bachelor of archeology in geography pale udsm alafu nikafanye kazi sehemu Kama Olduvai gorge kaka itanisaidia hii kimaisha, nakuomba Sana ushauri wako kakaangu
K
Kaka nimeshaelewa Asante,Ila Nina hili swali ukitaka kuwa Askari was wanyama pori yaani ranger au gemu,inatakiwa nisome Nini,au Kama nikichukua hihii hgl nikusoma bachelor of archeology in geography kwenye cozi za humanities pale udsm nitafanikiwa kupata kazi mapema kweli kaka, naomba...
Kaka Asante Sana,Ila Nina kuomba unisaidie ,Sasa nitawezaje kupata maelekezo ya shule niliyopangiwa au form ya joining instructions ya shule niliyopangiwa maana hapa nmashindwa kuelewa nitatafuta mahitaji gani ya shule,kaka naomba nisaidie
Kaka nakuomba unisaidie kwa hili Tena,HAPA NILIPO NIKO KIJIJINI NA MATOKEO YAMESHATOKA SASA HUKU KARIBIA WOTE HAJUI JINSI YA KUPATA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE ULIYOPANGIWA,NA SHULE NILIYO SOMEA OLEVEL NI YA BOARDING IKO MBALI MKOANI HUKO KAMA kM200, KUTOKA KIJIJINI NILIPO,HIVYO NAKUOMBA🤲🤲🤲...
K
Kaka kwa miaka hii nikisomea comb ya HGL Kuna uwezekano wa kupata kazi, kuajiriwa mapema kweli?,na Kama unaijua kozi nzuri ya kusomea hgl naomba unisaidie nijue, kakaangu,kwa maana katika masomo yangu yote ni hesabu tu ndio iliyokuwa inaniyumbisha pekeyake,Ila hayo mengine nilikua nafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.