Recent content by Agumisa

  1. A

    Kwanini wanajeshi wetu hadi leo wanatofautiana katika kulipwa posho ya chakula(resheni)?

    ibara ya katiba 6 ya katiba ya sasa inasema hivi"there shall be three armed forces ,the tanzania people defence force,the tanzania police force and the prison service mpo hapo?
  2. A

    SWALI: Kwanini WANAJESHI wakistaafu hupatiwa tena AJIRA Serikalini lakini POLISI hawapewi hizo AJIRA

    kwani kuwa security guard ni dhambi au ni rahana,si njia halali za kujipatia kipato halali mnataka wakabomoe ndo mlizike?
  3. A

    SWALI: Kwanini WANAJESHI wakistaafu hupatiwa tena AJIRA Serikalini lakini POLISI hawapewi hizo AJIRA

    habari ya security guards hapo ndo linakuja swala la umri bz kada za chini ni 40,45,maximum 50
  4. A

    SWALI: Kwanini WANAJESHI wakistaafu hupatiwa tena AJIRA Serikalini lakini POLISI hawapewi hizo AJIRA

    kwa nini wanajeshi ni wengi kuliko polisi ni kwamba wanajeshi wanaostafu kabla ya kufikisha miaka 60 ni wengi sana kuliko polisi take note kwamba kazi nyingi majeshini zinapangwa kwa umri hasa kada za kati.
  5. A

    SWALI: Kwanini WANAJESHI wakistaafu hupatiwa tena AJIRA Serikalini lakini POLISI hawapewi hizo AJIRA

    sijaona ona popote kwenye mada kama mtoa mada ametaka wachangiaji wawe na elimu ya kiwango flani,kinachotakiwa hapa nifacts siyo taarabu mkubwa.
  6. A

    SWALI: Kwanini WANAJESHI wakistaafu hupatiwa tena AJIRA Serikalini lakini POLISI hawapewi hizo AJIRA

    siyo ugomvi umenisaidia kurekebisha kumbukumbu lakini pia hiyo kazi uliyotaja ni kazi ya kiraia,so nahisi bado niko sahihi.
  7. A

    SWALI: Kwanini WANAJESHI wakistaafu hupatiwa tena AJIRA Serikalini lakini POLISI hawapewi hizo AJIRA

    naomba niwape tu ufafanuzi wa kitaalamu,polisi ana mafunzo yake,jwtz wanamafunzo yao,walichonacho in common ni zile basics za kupigana vita police wanajifunza siraha nyingi sana za kivita ikiwemo na mlipuko ila kwa sababu vita siyo kazi ya msing ya polisi huwezi kuta polisi anajua kurusha midege...
  8. A

    GE2010 Karagwe bado kutangazwa

    jamani tangujuzi matokeo hapa yalikuwa tayari bt baada ya kufika ksir george kahama mambo yamebadilika,watu jana walipigwa mabomu wakajeruhiwa lakini mda huu bado watu wamejaa niko hapa tangu jana nitawapa up dates kwa lolote
  9. A

    GE2010 Karagwe: Matokeo kutangazwa?

    Niko hapa niulizen mimi polisi utadhan wanao wapiga mabomu ci watz wenzao,inatia aibu.
  10. A

    GE2010 Karagwe: Matokeo kutangazwa?

    Mbona post zangu hazifiki?
  11. A

    GE2010 Karagwe: Matokeo kutangazwa?

    Niko hapa niulizen mimi polisi utadhan wanao wapiga mabomu ci watz wenzao,inatia aibu.
  12. A

    GE2010 Karagwe: Matokeo kutangazwa?

    Niko hapa niulizen mimi polisi utadhan wanao wapiga mabomu ci watz wenzao,inatia aibu.
  13. A

    GE2010 Karagwe: Matokeo kutangazwa?

    Niko hapa karagwe,sasa hv askari wameletwa toka bkuba bt nguvu ya uma itashinda,wanataka kudanganya hataweza.
  14. A

    GE2010 Karagwe: Matokeo kutangazwa?

    Uwezekano wa cmm kuchakachua ni mdogo sana wamebanwa sana.wanahaha mi niko hapahapa kwa anayetaka updates.
  15. A

    GE2010 Karagwe: Matokeo kutangazwa?

    Niko hapa karagwe,sasa hv askari wameletwa toka bkuba bt nguvu ya uma itashinda,wanataka kudanganya hataweza.
Back
Top Bottom