Karagwe bado kutangazwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karagwe bado kutangazwa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Agumisa, Nov 3, 2010.

 1. A

  Agumisa Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani tangujuzi matokeo hapa yalikuwa tayari bt baada ya kufika ksir george kahama mambo yamebadilika,watu jana walipigwa mabomu wakajeruhiwa lakini mda huu bado watu wamejaa niko hapa tangu jana nitawapa up dates kwa lolote
   
 2. inols

  inols JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  This part of den of thieves "CCM", are up to rig the results, once again i say they should be purged and their history be deleted with the exception of the history of our founding father of the nation J.K.Nyerere
   
 3. N

  NG1984 Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawataki kuongeza majimbo mengi ya upinzani bungeni,na hili ni somo kwa hawa mafisadi (thithiemu) kwamba wananchi tumechoka na vitendo vyao vya kipumbavu na kutufanya sisi wajinga.
   
 4. Kahema

  Kahema JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: May 21, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mpaka tuanze kujitoa muhanga hapo ndipo adabu itakuwepo.
   
 5. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,938
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Hakuna kurudi nyuma wala kurudia kuhesabu kura.
   
Loading...