Recent content by Aguboy

  1. Aguboy

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nchi imekuwa na ma-IGP wawili

    Mazoea ndo yanakupa shida hapo, huu uongozi sio wa mazoea
  2. Aguboy

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

    Kuna uhusiano gani na uchaguzi was 2020
  3. Aguboy

    JamiiForums Tanzania Kibonde Clouds fm: Ni hoja ya kitoto kukataa Lissu asigombee TLS

    Unajifanya husikilizagi kumbe unasikilizaga, ungejuaje hizo habari.
  4. Aguboy

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli ahudhuria ibada ya Christmas mjini Singida, atoa Siri ya Ushindi wake wa 2015

    Kumjua Mungu haimanishi uko 100%
  5. Aguboy

    JamiiForums Tanzania Safari ya kwenda kumsalimia Jakaya Kikwete huko Msoga wakati wa Christmas hii

    Bila Shaka asingeweza kujenga hivyo kama hana waziri wa ujenzi mzuri
  6. Aguboy

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Antony Lusekelo (Mzee wa Upako) hajakamatwa?!

    Hajawataja angewataja angekamatwa
  7. Aguboy

    JamiiForums Tanzania Clouds, Mungu anawaona kwa hiki mnachotufanyia

    AISEEE NAONA UMEPEWA KIBARUA CHA KUWACHAFUA, MAANAKE MI NIMETOKA HUKO NI BURE KABISA, HATA MATANGAZO YAO HAWAKUTANGAZA KIINGILIO LKN NAONA MTOA MADA KAPEWA FURSA YA KUWACHAFUA.
  8. Aguboy

    JamiiForums Tanzania Huyu kweli Rais wa wanyonge hebu tazama hii mwekezaji kufutiwa leseni

    Wewe na nani mlizipuuza
  9. Aguboy

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi Serikalini

    Watu wengi hatupendi kuambiwa ukweli
  10. Aguboy

    JamiiForums Tanzania Kung'ang'ania kwenda Kuzikwa kwenu Kijijini ni akili au matope?

    Husomi biblia wewe, kasome Abraham, Isaka, na Yakobo walizikwa wapi , ndo utajua kwa nn watu wanazikwa kwao
  11. Aguboy

    JamiiForums Tanzania Wanaume, safisheni nyeti zenu jamani

    Umetembea na wangapi
  12. Aguboy

    JamiiForums Tanzania Picha: Prof. Lipumba aanza kazi ofisini, aimarisha ulinzi

    Hii ndo Tz bwana
  13. Aguboy

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

    Watu wa Kagera wanahitaji misaada siyo maneno na misaada sio serikali tu hata wewe unayekosoa unatakiwa utoe msaada maana ushukuru Mungu unauwezo wa kuingia jamii forum ukiwa mzima, Na huo ndo utakuwa uzalendo.
  14. Aguboy

    JamiiForums Tanzania Zitto: Tumepigwa cha juu katika ununuzi wa ndege mpya

    Tuwekee vielelezo Tafadhali
  15. Aguboy

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa reli ya standard gauge: Asante J. Kikwete kwa kutuletea wawekezaji, uliona mbali sana

    Hapa umezungumzia sana ujenzi, cha msingi hapa tumjue nani alikuwa waziri wa ujenzi maanake aliwahikiri mwenyewe wizara ya ujenzi haijawahi kumnyima usingizi.
Back
Top Bottom