Recent content by AgreyMchak

  1. AgreyMchak

    JamiiForums Amber Lulu, young D, Kwa picha hizi mtaenda kujibu nini kwa Mungu wenu muumba?

    Tamaa ya pesa imefanya watu wawe f****ng Sent using Jamii Forums mobile app
  2. AgreyMchak

    JamiiForums Tetesi: CUF: Lipumba kuwafuta uanachama wabunge wote wa kuchaguliwa majimbo yote ya Bara

    Wanaotaka kuiua CUF wafikirie Mara tatu kwa maana mbeleni naona mfalme CHADEMA anaandaliwa . Kama CUF ya Maalim Seif iliungana na CHADEMA ya LOWASSA wakapata wabunge 10 Tanzania Bara ,akihama moja kwa moja kwanza CUF itakufa na pili CHADEMA itachukua hatamu Bara na Visiwani . Wasiwasi wangu ni...
  3. AgreyMchak

    JamiiForums Huu ushuru wa samaki ulioanzishwa na DC wa Manyara siyo jipu?

    Wanabody nisaidieni ,nimepata kusikia zaidi ya mara mbili aka tatu kwamba mazao chini ya tani 1 hayalipiwi ushuru: Sasa huko manyara kuna mabwawa mawili ya samaki ambayo ni Nyumba ya mungu na Kidawashi ,unaambiwa ukitaka kufanya biashara huko ujipange maana umepitishwa na mkuu wa wilaya...
  4. AgreyMchak

    JamiiForums Mwenyekiti wa Taasisi ya Imamu Bukhary Sheiky Khalifa Hamisi anashikiliwa na Polisi

    Imebakia sisi tunao like,share na comments .Kazi mbona tunayo .... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. AgreyMchak

    JamiiForums Kutoonekana kwa Viongozi/Mwakilishi wa Vyama vya Upinzani Katika Msiba wa Mke wa Mwakyembe

    Nchi imeanza kugawanyika pande mbili a)CHADEMA (b)CCM Na matukio yanathibitisha hilo , Tulianza kuona kwenye MSIBA wa shule ya LUCK VICENT Arusha ....hakuna kiongozi wa upinzani aliyepewa nafasi ya kuongea japo walifika na kilichoendelea kutokea kila MTU anafahamu. Tukaja kwenye MSIBA wa...
  6. AgreyMchak

    JamiiForums Rais Magufuli amteua Bw. Dotto M. James kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango

    Mnafuatilia habari mpaka sisi wasomaji tunasikia raha kusoma ,lkn nyumbani no nyumbani ........! Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
  7. AgreyMchak

    JamiiForums Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

    Nakuombea uishi miaka mingi ili tupate kujua madudu mengi ya serikali iliyopo madarakani bila kujali Mani anahusika ..........viva Lissu Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
  8. AgreyMchak

    JamiiForums CCM wamefanikiwa kiasi kikubwa kuwaaminisha Chadema kuwa Lowassa ni 'mpinzani'

    Unajua wewe.........! Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom