Recent content by agrey nziku

  1. A

    Mapenzi na dini

    asante kwa ushauri mzur
  2. A

    Mapenzi na dini

    I get u king snr
  3. A

    Mapenzi na dini

    nilizungumza na ashura akasema Yupo Tayari kubadili dini lakn tatizo baba yake anasema Kama niivyo ndoa iahilishwe
  4. A

    Mapenzi na dini

    namba tena Jomba. Ww toa maushauri tuu!!
  5. A

    Mapenzi na dini

    Thankx kwa ushauli Jomba
  6. A

    Mapenzi na dini

    Hellow wadau, Ninatatizo moja kubwa sana na hata sjui nianzie wapi kusolve. Ninampenzi wangu anaitwa Ashura ninampenda sana pia yeye ananipenda sana. Lakini tatizo nikwamba mimi ni mkristo yeye ni mwislamu na ningependa awe mwenza wangu wa maisha. Pia wazazi wangu wanakataa kosa dini tofauti...
  7. A

    Naomba ushauri: Mwanamke wa namna hii anastahili adhabu ama msamaha?

    Mwanamke huyo yupo kimaslahi zaidi coz anawanaume zaidi ya wawili apart from u, still yet anataka awadatishe(awaloge) ili mmpe anachotaka. xo hata ukimsamehe atabaki kuwa kimaslahi zaidi na nibora aendelee na hao wengine. pia mshukuru Mungu kwa kuonesha hayo nia yake akuepushe bt ww unataka...
  8. A

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    download prog inaitwa tubemate ndio utumie kudownload vtu utube
  9. A

    Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2014 naomba mnishauru wadau juu ya uteuzi wa combination kati ya PCM na PCB. coz watu wengi wananishauri nisime PCB. Na mm ninapenda nisome PCM, pia hata wazazi wana nishauri nisome PCB. wadau naomba mnisaidie ipi niende jati ya hizi combi mbili
Back
Top Bottom