Recent content by agoba

  1. A

    Tundu Lissu: Tunataka mafaili ya Muungano siyo picha za Nyerere na Karume

    Wabunge wengi wa ccm wababaishaji sana maana kazi yao ni kupiga makofi tu hata kama hajaelewa maana usipopiga makofi utajibu nini mbele ya NEC. Lisu mbele kwa mbele...!
  2. A

    Hii kitu balaa ni Turbo charge!

    Huyo wa kawaida mno tena akisimama nadhani hamna kitu maana hapo alipo tu kajibinua ili muradi awachanganye waroho wa rangi...! kawaida mno.
  3. A

    Kikwete kajenga barabara nyingi kuliko awamu zote tatu?

    Haya mambo ya barabara ni siasa tu na hamna cha maana basi waje kujenga na barabara yetu ya Goba na si porojo tu.
Back
Top Bottom