Recent content by Agnessjuma

  1. Agnessjuma

    Habbat Sauda: Tiba mbadala ya V.V.U

    Mzizi mkavu uctudanganye bhana maana kuna watu wanacd4 zao zipo juu na hawatumii dawa sasa utamtjb vp maana zinarixhisha
  2. Agnessjuma

    Changamoto ya kupata mke

    Kumbe na wanaume Wanachangamoto nilijua kwa wasichana tu
  3. Agnessjuma

    Changamoto ya kupata mke

    Hahahahahhahahhahaha
  4. Agnessjuma

    Habbat Sauda: Tiba mbadala ya V.V.U

    Sawa mkuu Mungu akulipe
  5. Agnessjuma

    Habbat Sauda: Tiba mbadala ya V.V.U

    Au umemlipa mmama wa watu aaminiwe na watz ili upate Hela ya kujikim maana mjini hapa shule kijijini bhana, samahan lakin
  6. Agnessjuma

    Habbat Sauda: Tiba mbadala ya V.V.U

    Mungu akutunuku maana hilo ni janga lakitaifa, ninarafiki doctor amegair kuoa kwa anayoyaona hospital, du amekupa hadi namba ya cm basi anauhakika ,maana hapa ni paplic sana
  7. Agnessjuma

    Habbat Sauda: Tiba mbadala ya V.V.U

    Ujumbe umefka na kwa wale waliotumia walete feedback ili watu waamini cunajua tena mtz kuamin shida
  8. Agnessjuma

    Matumizi ya udi na faida zake

    Yaaan ile harufu tu nitalazwa hospital
  9. Agnessjuma

    Habbat Sauda: Tiba mbadala ya V.V.U

    Mungu akujali katika utabibu wako mkuu, ucjitangaze utafungwa kama mzee Wa loliondo walimzimia wap vile?
  10. Agnessjuma

    Habbat Sauda: Tiba mbadala ya V.V.U

    Kumbe haradan nimekuelewa
  11. Agnessjuma

    Habbat Sauda: Tiba mbadala ya V.V.U

    Acheni kudanganya watu ukimwi hauna dawa jaman
  12. Agnessjuma

    Mpenzi wangu hataki niwe na rafiki wa kike

    Powa mkuu ila fanya utaratib umuoe kama humuoi mwambie mapema, mahusiano ya mda mrefu huuma sana
  13. Agnessjuma

    Nilitaka awe wangu, lakini niliogopa kumwambia

    Hahahahahaaahahaa acha vdharau kijana mwenzio kamaliza bkaribia laki katika hizo rangi unazoita zaajabuajabu
  14. Agnessjuma

    Kipi nimfanyie nionekane nampenda kwa dhati?

    Du powa mkuu kama umeamua hivyo
  15. Agnessjuma

    Kipi nimfanyie nionekane nampenda kwa dhati?

    Hahahhahahahaha ktk yote hayo urudipo geto unataman awepo japo avae kanga moja, asikwambie mtu kila kitu kinanafasi yake Mkuuu
Back
Top Bottom